LETS CALL A SPADE, A SPADE... ZITTO ZUBERI KABWE NAYE ANANUKA UFISADI, PERIOD.
Mtu meticulous kama ZITTO HAIWEZEKANI hakuyajua haya, aliunder estimate watanzania na kuwatake for granted. SHAME ON YOU ZITTO!
Hivi inawezekana kweli watu wa Dowans walimvuta pembeni Zitto, of all the people, wakakamilishana nae maswala? Duuu! Watakuwa na guts hao watu. Kwa nini wasingeanzia kule CCM kwenye kamati ya Shelukindo na wenzie, umfuate kujaribu kumtongoza Zitto, sijui wangeazia wapi. Au ni Zitto ndio aanze kuwa approach pembeni! Duuuu! Mbingu na ardhi zitakuwa zilitetemeka siku hiyo.
Lakini ma mafia wanasema "every man has a price." Kwamba hata yule DPP Feleshi yule ana bei. Hata Kikwete mwenyewe, na jaji Mkuu Ramadhani, na Askofu Mkuu Pengo na Mufti Mkuu Simba na Harrison Mwakyembe yule, wanasema inawezekana ni dau lako tu. Testi zali! Kahongwa aid wa Yesu Kristo, tena kamtoa akauawe, itakuwa dili la mara moja anakamilishana na mwenzie anaishia na kwenye siasa kwenyewe unajiondokea kwenda kufundisha, hafi mtu, hafungwi mtu, haumii mtu, umeme wa Dowans unakuja watu wanapiga makofi, yanasahaulika. Kila kitu chawezekana, hakuna kitu kipya chini ya jua, lakini, mmmh, kuna vingine uwezekano ni mdogo zaidi ya vingine. Zitto, sidhani, lakini, mmmh..I don't know man!
Zitto mwenyewe huwa anapenda kusema "siwezi kununuliwa, kwani bei yangu haijulikani." Anasema haijulikani, hasemi
sina bei!
Every man has a price!