Kwanza ni nadclare interest mimi ni TeamKiba Damu damu.
Nipo safarini network inasumbua lakini nimejaribu kuipitia kidogo ila kiukwel huu wimbo ni mkali kuanzia Audio mpaka video, lakini ngoja kwanza badae nitaipitia tena vizuri ili nibaini mapungufu yake maana nimeona jamaa kacope script nyingi za wimbo wake wa moyo wangu kitu ambacho kineondoa radha nzima ya hii video yani kama mtu umewahi kuona video ya Diamond moyo wangu basi ukiona hii utakeleka sana maana ni cppy and paste, pia mr.flavor kambeba sana diamond yani kama bila mr.flavor basi sijui huu wimbo ungeishiwa kuchezwa bar tu na uswahilini.
Lastly, ila haka kajamaa kidogo kanajua mziki japo bado sana kumfikia kingKiba for real, maana kwa mziki huu wa kubebwa na davido mara mr.flavor basi diamond kumfikia kingkiba ni miaka 1000.
#KINGKIBAFOREVER
kwakweli mond kanikosha sijui nimeirudia mara ngapMkuu your wrong hii audio ni kali sana....
Namuona shemeji Iyobo... Anavyo isakata Nana lol
Nyimbo nzuri wallah.....
kwakweli mond kanikosha sijui nimeirudia mara ngap
mi nimependa anavyoanza paleHuu wimbo kali sana...
Me napenda pale ona onana....
Hii video ni sheeeda....hongera sana diamond
Kwanza ni nadclare interest mimi ni TeamKiba Damu damu.
Nipo safarini network inasumbua lakini nimejaribu kuipitia kidogo ila kiukwel huu wimbo ni mkali kuanzia Audio mpaka video, lakini ngoja kwanza badae nitaipitia tena vizuri ili nibaini mapungufu yake maana nimeona jamaa kacope script nyingi za wimbo wake wa moyo wangu kitu ambacho kineondoa radha nzima ya hii video yani kama mtu umewahi kuona video ya Diamond moyo wangu basi ukiona hii utakeleka sana maana ni cppy and paste, pia mr.flavor kambeba sana diamond yani kama bila mr.flavor basi sijui huu wimbo ungeishiwa kuchezwa bar tu na uswahilini.
Lastly, ila haka kajamaa kidogo kanajua mziki japo bado sana kumfikia kingKiba for real, maana kwa mziki huu wa kubebwa na davido mara mr.flavor basi diamond kumfikia kingkiba ni miaka 1000.
#KINGKIBAFOREVER
Kawaida tu hakuna jipya. Ktk nyimbo itakayopotea haraka masikioni ni hii mnayosifia. Mnatakiwa mseme ukweli sio kusifia tu kisa team.
binafsi nimeridhika na hii ngoma,kila niki icheki najikua natikisa kichwa tu sonkorooo ayaa sonkoroo ha ha haa!
Frankly speaking!! Yaa Kawaidaaa sanaa tena Sana naweza kusema NITAMPATA WAPI that video is super hot than this one! Kwa sababu hii kuu
1. sauti imemezwaa na beat ya nahrel. 2. Amejitahid kufanya combination ya masta mbalimbali ili iwe inavutia ila kwa uhalisia ni Normal thing nothing Big.
3. Ubunifu Wa mashairii unazidii kupungua sijui inakuajee.
Note:this are my opinion sina team please, naongea nachokionaa na ninavyomjuaa.