hapana mkuu sio mziki wao wa asili,ndo maana nikaaminisha tumwache dogo aimbe mziki as long as unatufurahisha maana kila nyimbo haikosi wakosoaji kila staili atayoimba maana atleast anaonekana anatupa nafasi ya kuonekana maana kila sekta tumeshindwa si mpira wala nn ni heri huyu anayetupasifa kuliko wanaomponda alafu hamna cha maana wanacho kifanyaMkuu kwani muziki wanaoimba wanaigeria sasa ndiyo mziki wao wa asili?
Hongera zake... ingawa katika kazi zake binafsi naona hii ya kawaida, maybe its my taste.., mpaka leo kwangu naona Ukimwona is one of his best work
mwenzako anasema hivi..hahahahahaaa sio kwa kuchanganyikiwa huko, eti unahisi umeshaiona tena, yani full mawingu unaona maruwe ruwe, huamini kama ni yeye tena katoa kitu kipya kikali hivyo sio, unatamani kiwe ni ile ile uliokwishaona eeh???. hihihii hii ni nyingine mekuu dangote katika UBOURAAAAA wake.
Mkuu unazingumziaje nyimbo za Diamond za zamani kabla hajawa wa kimataifa na hizi sasa?
Salute mdogo wangu, hv wapambe wa alikiba, bado mnachakuongea? Alikiba amefanya Kolabo ngapi na naijaguys
Ukilinganisha zamani na sasa ni kweli umaarufu umeongezeka..., lakini haimaanishi kwamba kila anachokitoa sasa ni bora kuliko cha zamani in my opinion nikipanga Top 10 Best Diamond Tunes sidhani kama huu tauweka (Kumbuka sisemi Greatest Hits bali Best Tune) nyimbo inaweza ku-Hit kutokana na Exposure na Umataifa n.k. lakini haimaanishi inazidi ubora zile ambazo haziku-Hit
Mkuu mie pia niko pamoja na wewe kabisa. Lakini kwanini unafikiri nyimbo zake za zamani bado ni bora kuliko anazotoa sasa?
Hapana sijasema za sasa sio Bora kama za zamani..., sababu hata tampata wapi ya sasa naona ni bora sana.., hata ile Featuring na Hadija imetulia.... POINT yangu ni kuwa huu ni wa Kawaida ukilinganisha na kazi zake nyingine.., kwangu mimi hata ile Number One na promo zote ilikuwa ya kawaida sana...., lakini maybe its just my taste ni vitu vilivyotulia
Na Flavour ameimba kikabila lake ki Igbo...anasema pia
Baby I love you.....hadi raha
Hii nyimbo ni shida hapa mjini
Yaani ni kwereeeeeeee
Video nimeiangalia zaidi ya mara 20 sasa...tangu jana tu
Alikiba anatakiwa amshukuru Diamond sana kwa kumrudishA kwenye chart.yaan mwezanko anafanya ubunifu kama huu alafu watu wanakuja kukubeba wewe kwa sababu wanamchukia jamaa
Na mie pia ninaurudia rudia
Tabu yao bado wana chuki na Diamond, jana hawajalala wanafikiria bado wamshushaje ili kumpaisha aliekaa kijiweni anyanyuke
Ndio wanaokazania kudonoa madislike, kuandika ----- wakati kazi wanaiona bali wivu na roho mbaya zimewajaaa.
Now wamwangalie tu D akizidi kuwika huko nje ya nchi kwa raha zake.
Ila Dimondo aatakiwa awashukuru haters...Coz ndio wanamfanya ajitume zaidi...
Akipendwa na kila mtu ataridhika na kujisahau