PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Mods , mi natumia computer la kizamani sana,ambapo kuscroll up lina"stack na kunipotezea hela zangu nyingi kwenye cafe!Hebu angalieni uwezekano wa kuweka kitufe cha "NEW POSTS" chini ya page pia, ili nikiwa mwisho wa ukurasa pia niweze kukitwanga na kuendelea kupata mahabari mapya, kuliko kuanza kuscroll up wee...ndo nikumbane nacho! Pages zingine huwa ndefu sana!Nadhani watumiaji wengine pia wana ndoto hii tamu!