New Night club kwa Nyerere VS Billicans Night club

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kwa wale wakazi wa mikocheni maeneo ya kwa nyerere kalibia na clouds fm
kuna jengo moja kubwa inasemekana ni Night club ya kisasa ambayo itaifunika
billicans ya mbowe.

Hii ni nght club ambayo bado haijafunguliwa lakina kuna tetesi kuwa imeanzishwa
ili kumaliza makali ya billicans.

Nini nani mmliki wa club hii? je clouds ndo wamiliki?

Je itaanzishwa kufutia vijana maana upande mwingine wa kiitikadi vijana wamekimbia
 
KUtokana na msimamo wenu wa siasa... hiyo klabu lazma itakua ya mwanamagamba

kwasbabu hakuna mnachofikiria zaidi ya chadema au watu wa chadema wanafanya nini....

kaoge ulale hayo ni ya vijana na wewe ulishachakachuka
 
peleka kwenye jukwaa la Sports and entertainment

anything which is not at the right place is regarded as garbage

hivyo basi hii pumba
 
peleka kwenye jukwaa la Sports and entertainment

anything which is not at the right place is regarded as garbage

hivyo basi hii pumba

hana upeo huo... yeye alitumwa awe anatype upupu kwenye jukwaa la siasa... hata ikitokea hili jukwaa limebadilishwa jina na kuitwa politics au hata itikadi, bsi atarudi kwa waliomtuma na kusema wamefuta jukwaa lake la ajira

...............na wakipigwa ban utawakuta hadi kwenye magazeti ya kiswahili huko mitaani
 
  • Thanks
Reactions: LAT

kwani hili ni jukwaa la siasa?>
 
Kwahiyo ccm baada ya kushindwa siasa mmeamua kuwekeza vilabuni? na mnaombea bills ife??
 
new maisha,san siro,..lakini watu bado wanaenda bills,..you know why?accessibility,..a place can be reached easily kuliko huko kwingine kote,hapa nazungumzia wenzangu na mie tunaopanda daladala,.chadema inaset trends hadi kwenye burudani,magamba mnaiga tu,..ofcourse sasa hivi mnaimplement sera za cdm ingawaje mnazichakachua
 
Untitled-1.jpg

mmmh
 
Siasa hadi nightclub. Du hatari ,i thought nightclubs was one of those few places people can mix freely and generally have good time irrespective of political loyalty.
 
Back
Top Bottom