Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Karibu sana,ndio maana mimi niliingia kinyemela kuogopa comments kama hizi. All in all karibu sana, kuna sababu mbalimbali zinazoweza sababisha kujoin halafu kushindwa kupost. We should encourage him. her rather than discouraging him. Karibu mwaya!unajua huyu ni mwenyeji zaidi yako? hebu angalia join date hapo