u really are new,brand new,natumaini kuwa wewe ni mpambanaji,ila usishangae maana humu wote sio great thinkers,..kuna tambwe hiza humu,january makamba,salva rweyemam,na vilaza wengine kama malaria sugu,..kuna waheshimiwa wabunge makini na wazalendo(atleast for now we cant tell the future)kama MNYIKA,REGIA MTEMA na wengineo