New Member;Nini niwe nacho makini humu? Nimekuja rasmi

Nganga Lyuma

Member
Jul 22, 2018
38
80
Baada ya mda mrefu kuperuzi JF kama mgeni nimeamua kuingia rasmi ndani baada ya kuona kuna mengi inawezekana nayakosa.
Naomba mnipokee na kunishauri tahadhari za kuchukua nikiwa humu.
 
Back
Top Bottom