Hivi zinapatikana madukani? Upo lakini mbaba...long time bana
Zinapatikana pale KIMAHAMA opposite ya Goldenrose Arcade mkuu.
Zinapatikana pale KIMAHAMA opposite ya Goldenrose Arcade mkuu.
Hivi zinapatikana madukani? Upo lakini mbaba...long time bana
Upendo kilahiro ndio alie jitoa nadhani , hawa hawana audio cd hawa.Iende mbele injili hiyoo....!pambio murua kabisa kwahiyo bado wanaimba ila mwanakikundi mmoja amejitoa?huna hata wimbo mmoja(mp3) unaoweza kuuweka hapa tupate mkuu?
Arusha one mi nazihitaji sana hizi nyimbo kama vp ni pmZinapatikana pale KIMAHAMA opposite ya Goldenrose Arcade mkuu.
Bendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa?nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa
Wana mapato ya kutosha, Wito wamesahauBendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa?nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa
na Mathayi Lemabi wa Tumaini choir/shangilienIbrahimu Kibambe alifariki dunia.. kwa sasa New Life Band inafanya matamasha Ulaya na Marekani, pia bado wanajihusisha na huduma za vijana kwa kufanya makambi ya vijana mara moja kila mwaka sehemu mbalimbali.
Kwa sasa waimbaji ni kama Eglah Bavuma, Abednego Hango waliotoka AVC, pamoja na Deo, James Kufizi, Gideon na Ondo