Bongo huwa hakuna kitu kinaitwa kasi internet, fast internet, super fast internet na vyote vinavyofanana na hayo majina kwa mitandao inayotumia minara ya simu...
Such internet speed inawezekana tu kwa huduma za FTTx na sio hizi mambo zenu za wifi broadband/LTE etc...
Huwa mnakula tu hela za waTz kwa kuweka majina mazuri mazuri lakini hakuna lolote...