Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Wimbo hovyo kabisa, ingawa video ina muonekano mzuri na wakuvutiapoor ...I am diamond s fan...lakini hapa kachensha
shindu ndo nini sasa.watu hawan mzuka nazo hizoTunapeana promo za ajabu tu . Na kutiana moyo kwa vitu vinavyohitaji criticism . ..
Nimechoka kumsikia diamond huyo huyo siku ,nimekosa ubunifu kabisa katika katika hiuo ngoma .
Nataka nikuambie hivii ,sikiliza Ngoma ya Snura inaitwa Shindu ni mpya halaafu fananisha na hiyo ya diamond .
Diamond unaimba but try to change uwe kidgo mbunifu @list mtu akisikiliza apate vionjo vingine .
mashairi yanatuhusu nin? kwani nyimbo za kiingereza huwa unaelewa wewe?? mbona unazisikiliza sasaKijana wake kamfunika alieimba matatizo,diamond wimbo mbaya video nzuri,ila siku hizi watu wanasifia video badala ya mashairi
Jadiliana,bishana na bulembo na maji marefu dada,umefanana nao kielimumashairi yanatuhusu nin? kwani nyimbo za kiingereza huwa unaelewa wewe?? mbona unazisikiliza sasa