Nacomment kama shabiki wa Diamond: video ni kali sana but audio ni ya kawaida, in short wimbo wa mwisho mkali wa Diamond ni NANA, zilizofata baada ya hapo sizielewi
Ngoma ni ya Diamond Platinums. Siyo yao wote. Ngoja nikupe somo kidogo ndugu japo naamini ni dogo lakini angalau litakusaidia.
Mtu akishirikishwa ngoma basi itandikwa "somebody featuring someone" kifupi huwa inaandikwa "somebody ft someone" na ngoma itatambuliwa kama ya someone kamshirikisha somebody.
Lakini kama ngoma ni ya wote wawili basi itaandikwa "someone × somebody" kama ulivyoandika na ngoma itatambuliwa kuwa ya wote.