Mwenye habari zaidi atujuze!
Pasco,Kuna fununu kuwa Muungwana kamtosa RA, pigo la mwisho linashushwa Dodoma next week kwenye NEC ambako watuwake watapigwa paranja.
Muhingo kaaga rasmi, Ezekiel Kamwagwa juzi nimemsoma Mwanahali, The African sasa ni weekly, hivyo ni kweli mambo si shwari.
Good news ni kuwa huku Habari Corp. ikitikisika, tangu tarehe 1/02/2010, magazeti yao wameyapa facelift ya nguvu, wamebadili muonekano, layout na design, pia wanapiga full color kurasa zote.
Hawa ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania na Rai ila mpaka leo hii mshahara haujalipwa na haijulikani kadhia hiyo itaisha lini. Hii imetokana na kampuni kutofanya vizuri kibiashara na tatizo hili limejirudia kwa miezi minne mfululizo sasa.
Kampuni hii kongwe ya habari inaelekea wapi?
Kaka hiyo ndiyo recession ambayo majuu wanalia nayo.Hawa ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania na Rai ila mpaka leo hii mshahara haujalipwa na haijulikani kadhia hiyo itaisha lini. Hii imetokana na kampuni kutofanya vizuri kibiashara na tatizo hili limejirudia kwa miezi minne mfululizo sasa.
Kampuni hii kongwe ya habari inaelekea wapi?
boss wenu Rostam wa azizi anawaambiaje?za EPA zilishakwisha au ndo anandunduliza za uchaguzi.
Hawa ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania na Rai ila mpaka leo hii mshahara haujalipwa na haijulikani kadhia hiyo itaisha lini. Hii imetokana na kampuni kutofanya vizuri kibiashara na tatizo hili limejirudia kwa miezi minne mfululizo sasa.
Kampuni hii kongwe ya habari inaelekea wapi?
Fununu, accounts ziko held pending uamuzi wa kumsulubu, atatolewa kafara ya Kagoda kukisafisha chama, mambo yote ni wiki hii mjini Dodoma,
Inatarajiwa ile mtu 4 inayochafua chama, pia itawekwa kando kiuongozi na kubakia kama wanachama waaminifu.

poleni wahusika,kila kampuni huzaliwa,hukua na hatimaye hufa na mkiwa na bahati inaweza kufufuka,lakini kwa soko la kazi za kampuni hiyo kwa sasa mmh,labda mbadilike.