Mbali na gharama za uchapishaji kupanda ukweli ni kwamba magazeti ya New habari Corp. hayauziki na hilo wanalijua mdio maana hata sasa Gazeti la The African limeanza kutolewa mara moja kwa wiki badala ya mara sita. Rai ndio kabisaaaa. Ni dhairi kwamba umma umeyakataa magazeti ya New Habari Corp. kutokana na historia ya mwekezaji mkuu katika kampuni hiyo. Hiyo ndio nguvu ya Umma.
Ni kweli, unapoandika habari ili kupindisha ukweli kwa manufaa ya mwenye mali matokeo yake ni kuharibu biashara. Naamini magazeti yote yenye mwelekeo kama wa New Habari Corp. yatafunga biashara sooner than later.