New Delhi: Tembea ujionee

Nimependa style yenu mlioishi India mibongo mingi tunajiita Diaspora tulioishi ulaya na marekani tunapinga sana.. yaani
 
Bengaluru: Inasemekana ni mji wa 5 kwa ukubwa nchini India.
 
kitu nilichokipenda India ni kwamba unaweza kukata nauli ya siku nzima. ukiwa na pirika za hapa na pale hamna kudaiwa nauli apo
 
kitu nilichokipenda India ni kwamba unaweza kukata nauli ya siku nzima. ukiwa na pirika za hapa na pale hamna kudaiwa nauli apo
Nlikuwa natumia zaido oto kule zina bei ndogo balaa. Yaan kwa rupee 100 unaweza kutoka kariakoo hadi kibaha pale mzani
 
Ila wana bia yao moja hivi nimeisahau jina ni tam kama soda na ipo kwenye rangi ya fanta papo, orange, na pineaple
 
kitu nilichokipenda India ni kwamba unaweza kukata nauli ya siku nzima. ukiwa na pirika za hapa na pale hamna kudaiwa nauli apo

Au unaita Uber au Ola...zile bajaj zao (auto) unakuta zina mita kabisa haina kuibiana hapo
 
Sasahivi india ndio nchi inayoongoza kwa matukio ya ubakaji, ni kawaida kusikia msichana wa kihindi amebakwa tena mara nyingi huwa ni ( mande) gang rape, hata wageni watalii wamekumbwa na hio dhoruba.
halafu ni wabaguzi sana miongoni mwao kuna mambo ya low caste na high caste,rangi ya ngozi,umaskini/utajiri,/wadhifa,dini nk
 
Number 10 Yanga na Tawala inawahusu..
12 Tutapata tabu sana sisi tusio kwenda eneo bila hata kupiga kamoja kapuchi cha wenyeji..
Naomba kuwakilisha..
 
Mkuu umepotelea wapi? Nakukumbukaga sana na avatar picha yako ya fidel castro. Naona ukaibadilisha na luis farrakhan
 
Ni wakwepaji wazuri wa kulipa kodi. Wanaolipa kodi ni wafanyakazi na wafanyabiashara wa wadogo na wakati. Wanasema kama big fish wangelipa kodi inavyostahili India ingekuwa on another level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…