Sante[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]
Ujue nakufananishaga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na shosti angu mmoja ivi ..!!!ana mikato ya kiswazi sana!tunaelewana sana ila sio wewe!!! Yaani story zako km yeye....!!!anaishi Kino clan!
 
Sana angejibebesha asee...anampenda Domo hadi kufa kwake

Utasikia " mimi nasibu tumeanza hana kitu" na ile sauti yake [emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]hana kitu kwioo!imebaki storyyy tuu!!
Anampenda mwenyewe maskini!
 
Yes...kuliko mademu wa Domo wotee
Kwa mshepu sawaa!ila kwa kisuraa!!Dona alifunika wotee!demu mkareee sana yule....kwa viuno mobetoo!Kwa akili za maisha Zari!kwa mapenzi alimpenda Wema mpk babu tale alikua anamtuliza mondi ashawahi kulia kipindi kile madame kanunuliwa Range sijui Nissan kwenye bday!
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daahhh!daahh!
 
Wamama wa kiswahili huwa hawajali umalaya wa ma Binti zao sijui kwanini?
Acha kabissa yaani wamama wa Kiswahili hawana mda ,nilikua naishi uswahili kwetu hukoo baba akitaka kuadhibu watoto wa kike mama anakaa kati anamuambia ampige yeye,maana ndo chumio lake yaani ni mtihani kabisaa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…