mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,079
- 2,842
Haya ya humu si ni utani tu,kwani kweli?Sijui kwann hua naamini penzi lolote linalotumia platform flan kuaminisha watu wanapendana naona kama Lina tatizo hv
Haya ya humu si ni utani tu,kwani kweli?Sijui kwann hua naamini penzi lolote linalotumia platform flan kuaminisha watu wanapendana naona kama Lina tatizo hv
Sija-specify platform iwe humu au TwitterHaya ya humu si ni utani tu,kwani kweli?
Napataga ukakasi kuamini yanayoendelea humu.Labda mpk siku nikutane nao live wanishuhudie.Hongereni sana, kama ni kweli mwaya financial services I’m happy for you.
karibu tupo ukuAisee nimepamiss chigugu chikukwe😂😂😂
We are waiting madam,😘Sikia, sisi wala hatuna mpango wa kuonyeshana. Ni mimi tu nafikiri itakuwa vyema nikiwaletea thread moja tu ya love story yetu maana ina mengi ambayo kiukweli napenda watu wajifunze.
Kumbe?? Kama lengo lake ni hili basi jamaa kazinguaWe umemwamini huyu ni mziba riziki tu,kaona last week dada kasema yupo single Leo kaibuka yeye eti wako in love,Kuna bwege aliwahi niandikiaga ushubwada kama huu alinikera mpaka leo hatupendani yaani😁😁
Kabisa aiseeKumbe?? Kama lengo lake ni hili basi jamaa kazingua
Nimefanyaje Mjukuu 🤗, unataka nawe nikubariki kama Yakobo na Essau?Hivi lakini babu
Au basi[emoji17]
Ndio nauchonga uzi mahsusi kwa ajili ya penzi letu legend🤣🤣🤣Unajua mfano nikikuta Mtu kama ERoni kaniandikia Uzi Siwezi shangaa maana nishazoe utani wake wa Kila siku,ila unakuta mtu hata humjui alikotokea kaja na waraka,unanyong'onyea🙆
Uchuro sasaMtaachana Tu!
Utaona watu walikuwa watani mara jiii kimya Cha ghafla ujue hapo case closed!Nasubiri Uzi legend na Mimi niwe Mtu kwenye watu😁😁Ndio nauchonga uzi mahsusi kwa ajili ya penzi letu legend🤣🤣🤣
Halafu hatujui tu, watu wakilianzisha huwa hakuna hizi drama, hata utani baina yao unaisha kabisa, wachache kama jina CC ndio wanaweza🤣
Hahahahaha..wanayajenga nje ya jukwaa...hii ilikua taarifa tuHii ajali gani sasa? mtu unakimbia uzi wako 🤣 🤣 🤣
Hahahahaha...inabidi legend akutunukuUtaona watu walikuwa watani mara jiii kimya Cha ghafla ujue hapo case closed!Nasubiri Uzi legend na Mimi niwe Mtu kwenye watu😁😁
Mkuu itapendeza sana uzi wako na bi mdadaNdio nauchonga uzi mahsusi kwa ajili ya penzi letu legend🤣🤣🤣
Halafu hatujui tu, watu wakilianzisha huwa hakuna hizi drama, hata utani baina yao unaisha kabisa, wachache kama jina CC ndio wanaweza🤣
🤣🤣🤣🤣Atakuwa ameniheshimisha sana,hakika nitalienzi penzi lake with careHahahahaha...inabidi legend akutunuku
Hahahahaha anaona gereUchuro sasa
Hahahahaha..hadi hapa kaishaelewa ..subiri tu siku ya siku ..wasomaji tupo🤣🤣🤣🤣Atakuwa ameniheshimisha sana,hakika nitalienzi penzi lake with care
Love story yetu ni complicated kidogo,maana legend ERoni Kuna siku akiamka ananipenda,Kuna siku akiamka nakuwa shemeji yake,Kuna siku akiamka anaanza kuniunganishia Kwa wababa wengine wa humuhumu aaah nachoka kabisa🙆🙆🙆😁😁😁Mkuu itapendeza sana uzi wako na bi mdada