New comer

Mar 29, 2017
42
26
Hellow..quite new here @ jamii forums
Hope i will massive cooperation with you all
Im good at poems writings..interested in business ideas and politics
Looking forward to share alot with you members in every aspect
 
Your welcome, do you know Bashite chipu from call me J
 
Yeah namjua kwa kiasi chake
Paul makonda ambaye kwa mujibu wa wengi wanavyosema jina lake halisi ni daud albert bashite
Ni mkuu wa mkoa wa dar..
Ktka kipindi cha hvi karbuni anashutumiwa kwa kughushi vyeti na uvamizi wa media
Inspite shutuma zoote hizo
Bado hajatoa tamko rasmi juu ya hzo shutuma
Ila kwa uchapakaz wake ni mzuri
Haogopi, anajitolea kwa kiasi chake ktk maendeleo ya nchi na mtu mmja mmja
 
Karibu sana jf unaweza
 
yes,unafit kuwa greti thinka,karibu mkuu.:);)
 
Screenshot_2017-03-31-06-26-46.png

Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom