New comer ndani ya JF

New comer ndani ya JF

Alafu Shem wa dunia. juzi juzi tu hapa kuna member mmoja alinitumia picha za wadada wanne wa JF. Kawataja na majina. Na wadada wawili kati yao wako naked (ila sio naked ile ya nude) ila wanaonekana sura na kawataja na majina.

na akasema anaweza niunganisha nao.😊😊😊

najua utataka kujua nimemuambiaje sio?.
Ndio nataka kujua 😁
 
Mkuu yule jamaa anataka nini?...kanitumia pics na majina nikafungua nikamuuliza akamute...
 
Back
Top Bottom