VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
kama tanzania ikifuata utaratibu wa vatican wa moshi mweupe kufuka katika jina la mgombea. wagombea wa tanzania atakaye pata bahati ya kufuka moshi katika jina lake atakuwa ni nani kati ya hawa: DR Slaa, Lowassa, membe, mbatia,Kabwe,lyatonga na mtikila?
CNBC wametangaza kuwa ni kardinal Arinze wa Nigeria ndiye papa aliyechaguliwa
CNBC wametangaza kuwa ni kardinal Arinze wa Nigeria ndiye papa aliyechaguliwa
mkuu unazisubiri baraka za kwanza kwanza!
Band naona inajipanga....
kama tanzania ikifuata utaratibu wa vatican wa moshi mweupe kufuka katika jina la mgombea. wagombea wa tanzania atakaye pata bahati ya kufuka moshi katika jina lake atakuwa ni nani kati ya hawa: DR Slaa, Lowassa, membe, mbatia,Kabwe,lyatonga na mtikila?
hebu ilete kwenye hii context ya new pope!!ndiye anayesimama kama petro leo!!Yes mkuu kutoka kwa mrithi wa 266 wa Mtakatifu Petro!!
Natafakari maneno ya Yesu sasa hivi "Petro wanipenda? Chunga kondoo wangu,Petro wanipenda? Lisha kondoo zangu! Petro wanipenda? chunga kondoo wangu!
It was very specific not to every one but Petro!!!
Petro wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu! hata milango ya kuzimu haitalishinda!!!
Wakatoliki tunamshukuru Mungu hatimaye moshi mweupe umeonekana sasa hivi ishara ya Kumpata Baba Mtakatifu.source bbc.sta tv