New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Hili nalo linastahili kuwa kwenye jukwaa hili?...upuuzi mtupu... tunahitaji serious politics hapa....


Mujahedina nini?
remember that man will not live by bread alone.
 
Yes, Nilikuwepo hapo na bendere za ya TZ pia imo. Ni moja ya Mtanzania aliyekuwepo naye hapo.
 
Frustrations of the anti-christ movement!!!
 
Mnafanya deal sio...kwanza hakuna hata mtu aliyekuwa anajua ile ni bendera ya TZ zaidi ya nyie mnaoijua
 
stupid...wastage of time to think et new world order ni catholic bihind,wakati new world order ni sera iliyoasisiwa na ma republican wa marekani kwa ajiri ya kucontrol resource za dunia,.....dhambi zote zinazofanywa na wanasiasa wacatholic ndyo victims kwasababu tu tukoweng..
 

Rafiki ujumbe wako umewafikia ila haumezeki!,Mpinga kristo atakuja, amekwisha kuja dunia kama mtakatifu, bado uthihirisho tu. Watu wengi hawaamini na hawataamini mpaka awashike pabaya maana hata sasa ni sehemu ya hisia na imani za watu walio wengi dunia. Yeyote atakayetambua kichochoro au njia anayokuja nayo mpinga kristo ni yule tu mwenye neema ya ya WOKOVU ulio kamilishwa na Yesu mwenyewe.Rafiki yangu ulipost post hii NAKUONYA USIWAPE WATOTO WADOGO UGALI bali wape maziwa, Ugali huu ni mgumu kwao utaambulia matusi. Mambo ya rohoni yanajulikana kwa jinsi ya rohoni hayaitaji moshi mweusi wala moshi mweupe.
 
Mashehe wakiipata hii picha mihadhara kila siku thnls God wengi ni vilaza JF hawaji

shehe gani anaogopa picha , nafikili kilaza ni wewe , tembelea jukwaa la dini upate daaawa
 
Kwanini shekhe Ilunga asiende Vatican aue mapadri na makadinali wengi badala ya kumwandama pengo mwenyewe hapa?

hii ndiyo hatari ya vilaza wa JF kwani hata aliyoyasema Sheikh Ilunga hawayaelewi wanayaelewa ya Pengo , kazi kweli
 

Mkuu, jitahidi kupotezea (ignore) michango isiyo ya kiwango. Ukitaka kumjibu kila mtu hapa utapata taabu sana. Waachie wenyewe wanaoelekeana; wasiotaka kufuata mantiki. Labda ujifungie kwenye jukwaa la GTs pekee ndipo utakwepa kabisa adha hizi. Lakini utakosa mengi manake kushinda unawasoma "maprofesa" tu kunachusha :biggrin1::biggrin1:
 
nimefurahishwa na picha hizi na pia nimefurahishwa na live coverage ya ibada ya pope kupitia BBC,aljazeera, EWTN,CNN,skynews,ABC na tv zingine kuanzia mwanzo wa ibada hadi mwisho wa ibda bila kukata.
Inaonyesha ni namna gani kanisa katoliki linakubalika na pia heshima alio nayo papa.
kama mliona vema viongozi wengine kama othordox nao walikuepo katika msafara wa makardinal kuingia sehemu ya ibada na wakashiriki nao katika ibada.
catholic church-universal church-kanisa la wote.
 

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious groups.

http://en.wikipedia.org/wiki/Religion_in_Tanzania
 

Kweli wewe Bongolala!
RITA na NBS ni taasisi tofauti na zina majukumu tofauti. NBS ni taasisi ya takwimu ya taifa. Hii inakusanya, inatunza na kufanyia upembuzi takwimu mbalimbali za kitaifa, kuanzia kipato, idadi ya watu, idadi ya mifugo, makazi bora n.k. RITA inahusika na ufilisi, kusajili vizazi na vifo, wakfu (wasii na kusajili mirathi) na mambo yanayofanana na hayo. Kwa hiyo RITA hupeleka takwimu NBS ili zitunzwe na kuchambuliwa. Nadhani umenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…