Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,370
- 29,612
kwani we unajua Mama yako aliolewa na Baba yako akiwa ana miaka mingapi?Na unajua kabla ya hapo alikuwa na mwanaume gani?
Mtoto wa miaka 12? Huu ni ubakaji kabisa dah!
Kwamantiki hiyo tutegemee ipo siku kanisa litaongozwa na SHOGA mstaafu. Yani jitu lina kua shoga weeee! dipoje linaona bola liingie kuitangaza injili than linakabidhia wadhfa wa popo.
muuombeni dua asiyarudie hayo mambo yasiyofaa!
Halafu hajaelewa...Ni Pope ndo alikuwa na umri wa miaka 12....Alikuwa na mawazo ya kitoto kabla sauti ya Mungu haijamjia na kumwambia awe Mchungaji wa kondoo wake...
Kwamantiki hiyo tutegemee ipo siku kanisa litaongozwa na SHOGA mstaafu. Yani jitu lina kua shoga weeee! dipoje linaona bola liingie kuitangaza injili than linakabidhia wadhfa wa popo.
Umeua mkuuAndika mambo ya maana ili uwe kwenye list ya waandishi watakao mwagiwa acid
Mtoto wa miaka 12? Huu ni ubakaji kabisa dah!
Papa alicheza mduara !
Na mara nyingi wakati akiwa kardinali wa Bueno Aires amekwaruzana sana na rais wa Argentina akipinga sheria ya kuruhusu utoaji mimba na ndoa za jinsia moja!Wapo wanaodai huyu Papa ataruhusu utoaji mimba,mara ataruhusu ushoga...huyu ni mhafidhina...kwa wasiojua huyu ni Jesuit Fathers!kati ya mashirika madhubuti ya Kanisa Katoliki...ktk Msimamo wake wa kutoa Mimba..Pope Francis aliwahi kusema "A Pregnant Woman is not carrying a toothbrush in her womb or a tumour,Science shows us that the entire genetic code is present from the moment of conception,it is not therefore religious issue,but scientific based morality"....Huu ndo msimamo wa Pope Francis....The Bishop of Rome,The Vicar of Christ and The Head of the Holy Sea!!...Wakurupukaji watamdhania kwa mengi sana yaliyo mabaya
Hukujiandaa mkuu mapyas gani hayo ya kawaida hawakuzaliwa wakawa mapadre waliishi na kukua kama wengine
Ninavyowajua mabaunsa, mh!:
Wanapenda pombe za bure/offer,
wanapenda videmu vidogodogo,
ugomvi ukitokea ndo wa kwanza kuingia mifukoni kwa wateja kujipatia riziki,
n.k n.k n.k
huenda papa hizi sifa alikua nazo? Zikawa tabia? Akaendelea kuwa nazo hadi sasa?
Papa alicheza mduara !
We unataka waanze kutoka mapovu ya omoe!!Mkuu weka historia ya Mwamedi hapa uone mapovu ya kina Ally Kombo
Astagaffilulah..