Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,273
- 50,091
Those days...Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.

Unamaanisha nini ?Duuuh Paschal sio wa kawaida 🙌🙌🙌🙌
Heshima kwako... Mengi unayoandika ndio hua hayo hayo..
Kiongozi wangu hii futa.He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Hahaaaa.He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Aisee Pascal apa ulipewa ufunuoWanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.
Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.
1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Pasco
Aisee,njaa ni mbaya sana.He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Usiongee wakati wa kulaHahaaaa.
Hii post imenichekesha saaaana.
It did not age well at all.
Atafutaje ilhali kaandika ukweli?Kiongozi wangu hii futa.
Mkuu Midima, Midimay , huu sio ufunuo, hizi ni trends readings, unasoma tuu trends unaona. Kuna vitu sisi watu wa nje tunaviona vizuri zaidi kuliko walioko ndani, tukishauri, tunapuuzwa kwa hoja za who are you?, wewe ni nani?. Kwa vile sisi kazi yetu ni ku read trends na kusema trends zinasemaje, tukiisha sema kile trends zimetuelekeza, tunakuwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu, wakiamua kufuata ushauri, au wakiamua kupuuza, ni wao, sisi kazi yetu itakuwa ni kukumbusha tuu, tuliona nini, tukashauri nini, tukapuuzwa, kisha nini kikaja kutokea!.Aisee Pascal apa ulipewa ufunuo
Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
P
Inaweza kumletea matatizoAtafutaje ilhali kaandika ukweli?
Duh Mayalla kwenye ubora wakoMwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
P
Kitila Mchumia-tumbo katika ubora wake..He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Kasahau nywilaKiongozi wangu hii futa.
Mwanabodi Mkuu Dr. Kitila Mkumbo, this is true, hili nimelishuhudia jana kwenye jibu la hili swali langu la jana pale Serena. View attachment 3399963Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Dah!...Mzee Pascal Mayalla you have 'guts' hongera kwa hichi ulichokisema....sio Kila mwandishi anaweza kusema hilo mbele ya 'mkubwa'.Mwanabodi Mkuu Dr. Kitila Mkumbo, this is true, hili nimelishuhudia jana kwenye jibu la hili swali langu la jana pale Serena. View attachment 3399963
P
Japo watu huwa wanakwambia maneno ya kila rangi wakiwa wameshiba dengu.Wanabodi,