shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
Yeah na nyimbo zake pia huyu bwana anazeeka na kipaji chake naona atarithiwa na mwanawe wa kiume na wanavyofanana basi
Bora iwe hivo, nilikua napenda amitabh ile movie zak sasa hivii bom kweli... Let's see SRK' s son first movie itakua vp
Anaitwa aryan yumo katika movie aashiqui 3
3 imeshatoka??
Sina uhakika nliona trailer kama 6 month nyuma
Ngoja ntatafuta...alafu naona umeisahau khabi khushi khabi gum..nice movie pia
Owh kweli thanks kwa kunikumbusha...movie hii nkiitizama alafu nkimaliza nashindwa kula roho yauma inasikitisha sana machozi tuuu mpaka inaisha lol
Jism 2 umeiona napenda nyimbo zake hususan yeh kasoor mera hai
Haha sasa movie ukiona hata 2n time unalia??lol
Aise nakumbuka enzi za shilingi Hamsini banda la tv
Eeein hahaahHahaha hata mara 10 lol
Eeein hahaah
Umeona table no.21?