Gogle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,495
- 871
Daah I'm yourz...hi songs balaaa, yani umenikumbusha mbali Sana, thanks..
http://youtu.be/8mCCMhuKEYw
Daah I'm yourz...hi songs balaaa, yani umenikumbusha mbali Sana, thanks..
Daah I'm yourz...hi songs balaaa, yani umenikumbusha mbali Sana, thanks..
hakika farkhina. asante kwa video.acha niitazame,nitaleta mrejesho.Kuna msemo unasema love and music have no language
http://youtu.be/H9Bs29m8vGk
Tamer husny pia anaimba vizuri tu
hakika farkhina. asante kwa video.acha niitazame,nitaleta mrejesho.
Nancyyyyy...
http://m.youtube.com/watch?v=2xMI3jWqvaA Nina rafiki yangu akipiga this kwa piano utapenda sana
Kuna watu wana vipaji me mwenzenu napenda kucheza ila viungo vizito ivyo hahahaha step 1 dakika 10 ila sijali mradi naona raha nafurahi basi
Hahaa, ila its just labda huchezi Mara kwa Mara...
Wee nacheza kila mara ila tu kipaji hamna😀😀😀😀
Sio kweli..ntakufundisha dnt worry haihitaji kipaji