New Boko Haram video emerged

ukweli utajulikana. Kihoro kimeanza kuwaingia baada Marekani na Ufaransa kuingilia kati nini?

This is madness of the highest degree! Why do people behave like this?
 
Jamni Mi naomba waisilam mtuambie kwa mijibu wa dini yenu je walivyofanya boko haramu ni sahihi au si sahihi...tusaidieni kidogo juu ya hili ndugu zetu...
Nisaidie kukujibu ,kaangalie uzi unaoonyesha mazishi ya shee ilunga ndo utaelewa kama ni sahihi au siyo sahihi.mi nilikuwa najiuliza shee ilunga anapata wapi nguvu ya kutangaza hadharani watu wa dini nyingine wauawe bila woga, lkn baada ya kuona uzi ule humu jf ndo nikaelewa.
 
imewashinda ndege walioitengeneza wenyewe kuiona iweje watu?
Ila mimi kwa hapa sina coment kwa sb dunia hii ni full propaganda sioni source ya habari yenye authenticity
 
Something isn't right here. Inankumbusha weapons of mass destruction Iraq na Libya, "Dictatorship" Egypt, na Communism Vietnam. Something tells me there is more than meets the eye hapa.
Niujuavyo uislam, hakuna mtu anayeweza kudiriki kusema ni muislam halaf akateka watoto wa kike! Quran yeneyewe inapiga marufuku utekaji wa watoto na wanawake kipindi cha vita.
Hapana, islam is used for a reason hapa na Western media, au pia Local Politicians wa Nigeria. Iko kitu bandugu.
I just have a feeling not to believe this massive hype perpetuated by the media! Sudan Wamekufa watu ma elfu the last 2 weeks, wengi wakiwa wanawake na watoto, mbona sikusikia outcry kubwa hivi?
Ni kwa upendo gani wa ghafla huu...

Hapana, tushadanganywa sana na Westerners since ancestral times, embu lets pull back and think! After all isnt this "THE HOME OF GREAT THINKERS!!!"
 
Kuwa hai si kuwa salama......watott wale wamebakwa sana!
Askari wa wanajipatia marupurupu ya uporaji wao....hizo ndizo ahadi na motisha wa hawa mbwa wenye maumbile ya binadamu.Kweli km kuongeza imani(kuwa na siasa kali) ndio kunakuwa kubaya kuliko mbangi mbaya..ni wazi hii si dini.
 

kweli,muddy aliacha msala.....
 
Hapo ndipo western media zinapo tu fool. Kama walivyofanya kwa osama na fake videos na hapo wanarudia kilekile. Besides mbona hao ni kina mama na sio watoto?..wachukue tu hayo mafuta wasidhalilishe imani za watu kwa tamaa za mali.

Na wewe utakuwa PRIMITIVE and You believe in Backwards like Boko Haram? Yaani una amani kwamba hao wasichana hawajatekwa na Boko Haram na kwamba ni conspiracy ya western media kuuchafua uislamu? Very funny in deed! bado unaamini kwamba Osama bin Laden yuko hai? Hapo ndiyo huwa Waislamu mnanichoshwa. Muslim terrorists huwa wanatetewa na waislamu kwa kutafuta excuse badala ya condemn their evil act. Lakini kakichorwa tu ka cartoon kama Mohammed (no offense intended) Waislamu dunia nzima wanalipuka. Kama mngekuwa mnatumia hata 1/4 ya effort kupinga huu ugaindi unaofanya kwa mwamvuli wa uislamu, kama mnavyopinga vika cartoon vya Mohammed dunia hii ingekuwa mahala salama pa kuishi. All my prayers all with that young innocent girls.
 

So aren't you among of them?



Hapana, tushadanganywa sana na Westerners since ancestral times, embu lets pull back and think! After all isnt this "THE HOME OF GREAT THINKERS!!!"
 
Jamni Mi naomba waisilam mtuambie kwa mijibu wa dini yenu je walivyofanya boko haramu ni sahihi au si sahihi...tusaidieni kidogo juu ya hili ndugu zetu...

ni sahihi kwa mujibu wa uislamu
 

Hakika mkuu umeandika,kuna watu sijui minds zao zipo likizo,nafikiri kungekua na mtoto wake au ndugu yake ata mmoja katika hao wasichana angeelewa lesson kwamba hawa magaidi ni watu wanaofanya dunia pasiwe sehem salama,they should be wiped away from this planet.
 
Kwani wasiende kuteka wanajeshi,wanateka watoto ambao hawana hata fimbo.
 
Have thought before writing this usikurupuke tu mbona Somalia wanauana hujazungumzia ? Na mhamad kaingia vipi hapo ? Think careful sio ushabiki tu
 

Mbona terrorist ni u.s.a huiongolei have u ever thought abt its source?
 

How do u dare to mention Mohammad on this topic? I think u always use butt to think
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…