New Boko Haram video emerged

Mbakaji mkubwa wee unaposema lazima watakuwa wamebakwa una maana gani nyie ndo mnalala na wenenu angalia mimacho yake."nyimbo mbaya halelewi mwana"

Watu wenye busara washaelewa msimamo wako katika hili zahma.......hutaki Boko Haram wakosolewe!
 
Watu wenye busara washaelewa msimamo wako katika hili zahma.......hutaki Boko Haram wakosolewe!

mbona hawa hamwakosoi?

www.theblaze.com/stories/2014/03/05/pope-francis-reportedly-hints-that-catholic-church-could-tolerate-some-gay-civil-unions/
 
Hv unafahamu ni watu wangapi dunian wanahukumiwa kupigwa mawe had kufa kimakosa...namaanisha mara nyingine hao mashahid wa4 huwa si wakwel au kutokana na sababu moja au nyingine mf chuki wanaeza kuagree kuwa mtu amezini lakin kumbe isiwe kweli....mara nyingine watu wanapigwa mawe had kufa alaf mwisho wa siku inagundulika kuwa kumbe walikufa kimakosa....na pind inapugundulika hvyo tear inakuwa mtu amefariki na hakuna uezekano wa kuurudisha uhai wake....kutaka kufamu au kuamin ninachokisema ukaitafute Movie inayoitwa THE STONING OF SOLAYA ni movie abayo imebase kwenye true story....ni mwandishi aliyaona yaliyotokea na kuamua kuitungia movie ile situation yote....itafte utaelewa namaanisha nini
 
Dini ya Mnyanzi MUungu......Dini ya aman........Inamthamini saaana mwanamke!!!!!!!!!!!!!!!??????????
 
daaaah serikali fungia viroba tafadhali hali ya wanainchi inazidi kua mbayaaa kimawazo. :A S cry:
 
Yesu alipiga chini huo ushenzi uliokuwa unaendekezwa na wayahudi: Luka 11.37-54....Malaya wakuwa na wanunuzi wakubwa wa malaya wanaishi ktk nchi za kifalme za kiislam.Wana mfumo wa ku procure malaya unatoa ajira kubwa sana kwa wakusanyajai malaya.NI mfumo wa kuua masikini.Wanawapa wenginge sheria wasizoweza zifuata.Ni km CCM wanavyohukumu masikini ktk wizi wakati wanawalinda na kuwatukuza wezi wanaoibia watu wengi kwa mara moja kwa kuiba hazina ya nchi. Wote wamelaaniwa wenye dini hii na serikali zilizo km ya ccm.I LOVE CHRISTIANITY MY LORD JESUS
 
nimeunganisha na tukio la kutekwa kwa mabinti ambalo lilitokea mwaka huu mkuu.
Don't take it too emmotional Mr. moderator.

Hata mimi nimeunganisha na tukio la kutekwa kwa mabinti ambalo limetokea mwaka huu, sasa tatizo liko wapi?
 
Hawa thelathini ulowaonesha hapa ni wako ww na mtume wako Paulo

Ha ha ha ha hakika wewe utakua sio wa allah na haupiganii dini ya mnyaaazi muungu ,unakataa mabikra!Hivi wanawake nao wakitetea dini yenu wanapewa nini ???
 

Ni kweli wafalme na wafanyabiashara wakubwa wa kiharabu ndo kamchezo kao to procure girls around the globe.

http://www.gq-magazine.co.uk/girls/...nka-radakovich-on-sex-in-prince-jefris-harems
 
Ha ha ha ha hakika wewe utakua sio wa allah na haupiganii dini ya mnyaaazi muungu ,unakataa mabikra!Hivi wanawake nao wakitetea dini yenu wanapewa nini ???

"Na wala msiwatukanie makafiri dini zao wasije kukutukania MUNGU wenu kwani hakika wao wapo katika upotevu na nyinyi mko katika haki" sasa nadhani hiki ulichokiweka nadhan ni katika picha mnazoabudu makanisani mwenu
 
"Na wala msiwatukanie makafiri dini zao wasije kukutukania MUNGU wenu kwani hakika wao wapo katika upotevu na nyinyi mko katika haki" sasa nadhani hiki ulichokiweka nadhan ni katika picha mnazoabudu makanisani mwenu

Haujajibu hoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…