New Avatar alert: My real photo

New Avatar alert: My real photo

😂😂😂naona umeamua kuwanyanyapaa kbs

Aaah ndo maana Mungu alituumba tofauti. Kila mtu na taste yake. Si unamuona demi. Hapo ndo furaha yake.

Mimi bana hapana kabisa hata kuwatizama. Like wise kuna wkaka wakiona short chassis kama sisi wanatuita mitungi ya gesi 😁😁😁😁🙄🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kutesa kwa zamu acha leo wakipate pateeee
 
Aaah ndo maana Mungu alituumba tofauti. Kila mtu na taste yake. Si unamuona demi. Hapo ndo furaha yake.

Mimi bana hapana kabisa hata kuwatizama. Like wise kuna mkaka akienda short chassis kama mimi wanatuita mitungi ya gesi 😁😁😁😁🙄🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kutesa kwa zamu acha leo wakipate pateeee


😂😂😂 na ww umo kwa wale wakuwasema wakaka wafup😂😂 mie nimeamua kuwa balozi wao niwatetee tu
 
😂😂😂 na ww umo kwa wale wakuwasema wakaka wafup😂😂 mie nimeamua kuwa balozi wao niwatetee tu

Hapana. Wafupi siwasemagi aisee hata wale wenye uume mdogo siwezi wasema . Ni maumbile.

Lakini hawa wembamba ni kusudiiiii. Mwanamme unakuwaje tumifupa tuuuuuu. Hapana. Hawa nawasema. 😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣. Mkeo anakazana kukupikia maporopocho weeee, na wewe unasukuma vyote ndani lakini hata kuongezeka kilo 2 za shukrani huweziiii.
 
Hapana. Wafupi siwasemagi aisee hata wale wenye uume mdogo siwezi wasema . Ni maumbile.

Lakini hawa wembamba ni kusudiiiii. Mwanamme unakuwaje tumifupa tuuuuuu. Hapana. Hawa nawasema. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mkeo anakazana kukupikia maporopocho weeee, na wewe unasukuma vyote ndani lakini hata kuongezeka kilo 2 za shukrani huweziiii.
Hahaha!

Kumbe na wewe mkorofi korofi!
 
Hapana. Wafupi siwasemagi aisee hata wale wenye uume mdogo siwezi wasema . Ni maumbile.

Lakini hawa wembamba ni kusudiiiii. Mwanamme unakuwaje tumifupa tuuuuuu. Hapana. Hawa nawasema. 😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣. Mkeo anakazana kukupikia maporopocho weeee, na wewe unasukuma vyote ndani lakini hata kuongezeka kilo 2 za shukrani huweziiii.


😂😂😂😂wanaumizaga sana sehem za ndan ya mapaja ya mwanamke..lazma unywe panadol😂😂😂..@saint Ivuga njoo huk😷😷
 
Aaah ndo maana Mungu alituumba tofauti. Kila mtu na taste yake. Si unamuona demi. Hapo ndo furaha yake.

Mimi bana hapana kabisa hata kuwatizama. Like wise kuna wkaka wakiona short chassis kama sisi wanatuita mitungi ya gesi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kutesa kwa zamu acha leo wakipate pateeee
Mmh wembamba inategemea. Sijawahi date na kimbaumbau..bas tu nimemuimagine mtoa mada na kiuno chake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom