New African Union HQ Puts All Africans To Great Shame

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
19,255
42,874
​"…I have for long told my friends that Africans aren't mediocre people but it's a tough argument to maintain. How can you convince someone you aren't mediocre when you can't build your own home, when you can't grow enough food to feed your own people, when you can't treat your own people of disease? How can you maintain an argument that you aren't mediocre when you've thrown out all things that make you a proud African? Like building your own home?

By accepting the Chinese to build us a new home, the African Union has sold its pride. It has just announce to the whole world that we are not just useless but we are also very broke, we cannot build anything.

I refuse to accept that all the 54 countries of Africa could fail to raise USD200m that the Chinese spent on the project……"

Read full article

images
images

African Union leaders have inaugurated a new$200m headquarters, paid for by China. The complex in Addis Ababa, the capitalof Ethiopia, is a symbol of China's rapidly changing role in the region as itturns increasingly to Africa to satisfy its appetite for natural resources.

- Kama hatuwezi kuungana kujenga makao makuu yetu, tutawezaje kuwa ma mikakati madhubuti ya kuzisaidia nchi zetu kujikwamua na umasikini?

- China sio tu kwamba wamejenga na kughramia ujenzi wa hilo jengo, wataendelea kulitunza. Tuna uhakika gani kiusalama kwamba kila kinachoendelea humo hakiwi monitored au kurushwa hadi china ikizingatiwa kwamba design, na construction yote imefanywa na wachina.

- Licha ya kuwa na jengo hilo zuri, kwa aina hii ya viongozi wa Africa, kunakitu chochote cha maana kitakacholeta majawabu ya matatizo ndani ya hili jengo zuri? Do we really need such a buliding considering our poverty?

- Hii inaashiria nini kwa makampuni ya kichina kufanya kazi barani Africa, zabuni na maamuzi ya kutoa kazi zinazohusisha makampuni ya china hayatakua na conflict of interest kazi nyingi kuishia kuchukuliwa na wachina?
​
Ni kweli kabisa kwamba ni afadhali kufanya biashara na China kuliko jamaa wa western, hata hivyo ni kiasi gani Africa inapata kwenye hiyo trade?
 
Siyo jengo tu. Nilisoma mahali kuwa hata utafiti katika vitengo mbalimbali vya AU unafadhiliwa na nchi za nje. This, after 50 years plus of independence and having oil giants like Nigeria, Libya and Angola. It is a shame.
 
Pamoja na lawama mnazotoa huu ulikuwa ni mkakati wa waChina na ambao ume-send signals kwa nchi za magharibi na vyombo vya fedha dunia kufikiri upya jinsi wanavyozisumbua nchi za kiafrika.

Kwa mfano wataalamu na viongozi wengi wa juu wa nchi za magharibi waliona kuwa viongozi wa Afrika walikuwa wanafuatia mabadiliko ya uongozi wa juu wa China kwa hamu kubwa kuliko ule wa Marekani.

Angola, Nigeria, Sudan na nchi nyingi za kiafrika zimefanya mikataba mikubwa na China ambayo inaleta maendeleo barani Afrika kama vile mikataba ya ujenzi wa reli na nyumba za kukaa watu.

Kwa maoni yangu binafsi waChina wamefanya vizuri kujenga hilo jengo kwa sababu wametupa waafrika chaguo la wapi kukimbilia.
 
Hamna lolote...miafrika vichwa maji tupu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pamoja na lawama mnazotoa huu ulikuwa ni mkakati wa waChina na ambao ume-send signals kwa nchi za magharibi na vyombo vya fedha dunia kufikiri upya jinsi wanavyozisumbua nchi za kiafrika.

Kwa mfano wataalamu na viongozi wengi wa juu wa nchi za magharibi waliona kuwa viongozi wa Afrika walikuwa wanafuatia mabadiliko ya uongozi wa juu wa China kwa hamu kubwa kuliko ule wa Marekani.

Angola, Nigeria, Sudan na nchi nyingi za kiafrika zimefanya mikataba mikubwa na China ambayo inaleta maendeleo barani Afrika kama vile mikataba ya ujenzi wa reli na nyumba za kukaa watu.

Kwa maoni yangu binafsi waChina wamefanya vizuri kujenga hilo jengo kwa sababu wametupa waafrika chaguo la wapi kukimbilia.

Kwa nini uwe na chaguo la kukimbilia?? We are a handicaped!! Low IQS, Stupid, Can't think (cretins), less (semi) humans!!
Disgusting!!
 
I suppose you are talking about yourself. If you are stupid and sub-human with low IQ, that's your problem and don't generalize.

" How can you convince someone you aren't mediocre when you can't build your own home, when you can't grow enough food to feed your own people, when you can't treat your own people of disease? How can you maintain an argument that you aren't mediocre when you've thrown out all things that make you a proud African? Like building your own home?" And these are 53/54 countries; with almost a billion people!! uniformly poor (except north Africa)!!

Let us now admit!! Almost 50 years after of colonialists; where are Singaporeans, Malaysians, Taiwanese, Koreans etc. Even North Korea and Cuba wouldn't accept that offer!!
 
Kwa nini uwe na chaguo la kukimbilia?? We are a handicaped!! Low IQS, Stupid, Can't think (cretins), less (semi) humans!!
Disgusting!!

ur 2 harsh on urself brother....Africa haina jinsi kwenye mfumo wa kibepari wa kimagharibi. African economies were forcefully incorporated into the world economy (western economy) in the 19th c were Africans were ill prepared. Weak societies produce weak leaders and these leaders are easily co-opted into the powerful capitalist system and its elites. African economies cant be allowed to grow to sustainable levels as they at the periphery of this system serving the core-Western countries and their satellite institutions of power-WB, IMF, WTO etc

This should not be an excuse to give up the fight to better our societies, however slow that process may be. There's progress, societies are changing and African leaders are aware of this change and so their blood-sucking Western Masters.

The rise of China, hopefully Brazil and others will reduce the monopoly of the greedy western nations and their instruments of exploitation by challenging the status quo na sisi wanyonge tutapata nafuu.
 
" How can you convince someone you aren’t mediocre when you can’t build your own home, when you can’t grow enough food to feed your own people, when you can’t treat your own people of disease? How can you maintain an argument that you aren’t mediocre when you’ve thrown out all things that make you a proud African? Like building your own home?" And these are 53/54 countries; with almost a billion people!! uniformly poor (except north Africa)!!

Let us now admit!! Almost 50 years after of colonialists; where are Singaporeans, Malaysians, Taiwanese, Koreans etc. Even North Korea and Cuba wouldn't accept that offer!!

The point I am trying to make is the existence of Chinese investments in Africa is helping the continent greatly. So it's up to you to make the best of it. Other comparisons are just commentaries. They don't have any economic values.
 
kitu cha kwanza Africa kinachozuia maendeleo ni vyama vilivyoleta Uhuru, pili kwa AU ungekuwa Umoja wa kiuchumi zaidi kuliko sehemu ya Picnic kama ilivyo sasa kila nchi wangepewa target ya ukuaji wa uchumi at least tungekuwa na uchumi wa Dola 3000 nchi zote tungekuwa na uwezo mzuri wa kufikiri hata kuchagua viongozi wenye vision ya kwenda mbele na sio kwenda ulaya, japan na Marekani kuomba misaada tu au kuprint noti
 
The point I am trying to make is the existence of Chinese investments in Africa is helping the continent greatly. So it's up to you to make the best of it. Other comparisons are just commentaries. They don't have any economic values.

I am not at all blaming the existence of Chinese investment in Africa. Equally Chinese or Western companies existence in Africa is justified by their interests. You think they love Africa? Wake up!! The culprits of all this stupidity is Africans.

There are issues which are obvious, if you understand that you're stupid and admit (hata ki-moyo-moyo); that is really a big difference, you make make a change. It is long time since we have been that stupid and we cannot wakeup!

Don't divert the topic " How can you convince someone you aren't mediocre when you can't build your own home, when you can't grow enough food to feed your own people, when you can't treat your own people of disease? How can you maintain an argument that you aren't mediocre when you've thrown out all things that make you a proud African? Like building your own home?"
 
Wachina wanakula na kupuliza, wazungu kazi yao ni kuchukua kila kitu hata hiyo wanayoita misaada for the past 50 yrs imekuwa inawanufaisha wao zaidi kuliko nchi wanazozisaidia. Hii article ni propaganda toka kwa wazungu baada ya kuona Wachina wanawapiga bao Afrika.:becky:
 
Back
Top Bottom