New ACSEE Syllabus

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Dah! Yaani wanafunzi tunaotarajia kufanya Necta form 6 next year kaazi kweli kweli sababu syllabus mpya waalimu wenyewe inaonekana hawaielewi vizuri sasa imefika hatua wanafunzi tunasoma ila hatujui hatima zetu ni nini? Nawasilisha.

Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

nilisoma hyo comb yako bt hyo topic ckuigusaga kabsa.

syllabus inatusumbua zaidi sisi form 5 kwa sababu walimu inaonekana kuwashinda na ukiomba msaada kwa form 6 wanakufundisha vitu ambavyo havipo kwenye syllabus...

Dah! Yaan nitatizo ila tutajaribu kuisoma kibishi sababu hii syllabus inataka mwanafunzi awe mkali wa topic zote sio kuchagua kama zamani. Ok ahsante kwa mchango wako. Ngoja niinamie meza maana ndo mida hii.

Ni kweli hata mie nimecheki History2 asilimia 50% ni yale tuliyokuwa tunaambiwa yako H3,mfano Vietnam war,China revoltn n.k.sijuhi kama wafundishaji wanayaelewa vizuri haya mambo ama ndo kwanza wengine wanayaona kwenye silabi...poleni sana!

syllabus inatusumbua zaidi sisi form 5 kwa sababu walimu inaonekana kuwashinda na ukiomba msaada kwa form 6 wanakufundisha vitu ambavyo havipo kwenye syllabus...

Me naona nyie form 5 afadhari coz advantage yenu ni kwamba mtafaidi kuona sura ya mtihani tutakaofanya sisi ila sisi ndo shuguri ipo coz hata sura ya paper itakavyokua hatujui.

Ni kweli hata mie nimecheki History2 asilimia 50% ni yale tuliyokuwa tunaambiwa yako H3,mfano Vietnam war,China revoltn n.k.sijuhi kama wafundishaji wanayaelewa vizuri haya mambo ama ndo kwanza wengine wanayaona kwenye silabi...poleni sana!

Japokua Format zimekuja lakini bado tatizo ni kubwa.

Topic za river lakes undergr0und water, n 0cean zimeundwa pam0ja na kuwa WATER MASS.. Soil imepunguzwa hutos0ma soil textr na c0mpont tena.. Casregi0n imetolea in means utais0ma kwenye lake f0mati0n, rain, n wind er0sn n limest0n.
Map imekuzwa kuwa activ d0go..
N0thn new kwenye Geog just wamepangua pangua.
U gat me?
Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

mimi ni mwalimu wa history,kwa bahat nzuri ninayo format ya necta kwa masomo yoote,maana nilienda semina,na kwakweli tatizo kubwa ni vitabu.ila NECTA wameshatoa mpaka na jinsi mtihan utakavyokuwa,watakaosoma kwa topic za zaman ni form 5 na 6 wa SAYANSI TU,,,,,,,,,kama upo dar jitahidi tuonane nikupe mwongozo

Nimekupata mkubwa

Ahsante sana Teacher lakini bahati mbaya niko Mbeya ila ni kweli Format ilikuja ila baadhi ya waalimu bado hawatupi muongozo mzuri. Ila kwa History Paper 1 na 2 niko fiti vyakutosha. Topic zote hazisumbui.

Bora nilimaliza mapema! Mtakoma, na naskia maswal wamepunguza. Pigen kitabu madogo mje kugombana na tcu na nyie. Sala pia zihusike,mtamainie mungu katika kila jambo ndugu zangu.

I like it.
Gud adv..
Bt fm6 kufeli ts just ya dectn..
Nimefundishwa vipnd 10vya geo toka fm5 histor cmjui mwalim bt stl JMC does..
Al0n na nw ts TCU time.
Bora nilimaliza mapema! Mtakoma, na naskia maswal wamepunguza. Pigen kitabu madogo mje kugombana na tcu na nyie. Sala pia zihusike,mtamainie mungu katika kila jambo ndugu zangu.

Nasoma HGE, kwamfano kunabaadhi Ya topic ya physical geography tunaambiwa zimefutwa ila shule nyingine wanazisoma na mfano mzuri ni topic ya Climatology.

mwenyewe nilisoma Jiogr k6 ila cifahamu hiyo mada hata maswali cjui yakoje 2005

Mbona ilikuwepo toka zamani! Sema old syllabus ilikua silazima usome topic zote ila hii ya sasa hakuna ujanja lazima uwefiti kila upande.

Wewe hyo misukosuko imeanza kwa formsiks walomaliza mwaka huu!..so komaen tu madogo!

Back
Top Bottom