FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,821
Biblia inauhalali wa kupingana na science.
Mfano ni hii, kutembea juu ya maji, fimbo kutenganisha bahari, Mimba kutungwa kwa uwezo wa roho mt, Kupaa mbinguni etc.
Unatakiwa umwombe roho mtakatifu akuondolee majini yaliyokuingia tangu udongo, ulipokua unakaririshwa aya za majini.
Kwa hayo, na wewe ndiyo una haki ya kubadili argue kuwa urge?
Naam, leo nimefurahi sana kuona kuwa wewe unaihalalisha biblia kuwa "Biblia inauhalali wa kupingana na science", kitu ambacho Wakristo wanakikataa miaka yote na wanasema:
The Bible is not a science book, yet it is scientifically accurate. We are not aware of any scientific evidence that contradicts the Bible. We have listed statements on this page that are consistent with known scientific facts. Many of them were listed in the Bible hundreds or even thousands of years before being recorded elsewhere. Many concepts and notes on this page are adapted from ideas and statements that appear in The DEFENDER'S Study Bible.
Source: Science and the Bible
Hao wanaosema biblia haipingani na science wanajitaa ni "defender's" wa Biblia.
Kizungumkuti!.