Never urge with children

Never urge with children

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Screen-Shot-2014-08-08-at-3.39.07-PM.png
 
hahahahahha katoto kalijuae ticha ataenda kuzimu lol
 
Ha Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, ila Kweli watoto wadogo ni wadadisi sana
 
Patrickn

Hilo bandiko umelibandika wewe mwenyewe na umelisoma na bado heading yako umeandika kitu kingine kabisa!

Inasikitisha sana.

Sasa hapo Biblia inapingana na science or its just a joke?
 
Patrickn

Hilo bandiko umelibandika wewe mwenyew na umelisoma na bado heading yako umeandika kitu kingine kabisa!

Inasikitisha sana.

Sasa hapo Biblia inapingana na science or its just a joke?

Najua ulitaka niandike heading something to do with religion... tehteh... that's just for fun bhana
 
Last edited by a moderator:
Najua ulitaka niandike heading something to do with religion... tehteh... that's just for fun bhana

Usijidai kujichekesha, hizo shule watu kama wewe huwa mnaenda kujifunza ujinga.

Kitu mbele ya macho yako halafu hicho hicho unakosea, halafu unakuja hapa badala ya kukubali kuwa ni kosa na utajirekebisha unajidai ujanja wa kijinga. Pole sana.
 
FaizaFoxy mbona umetumia nguvu nyingi sana kumrekebisha au nimatokeo ya ubishi?
 
Last edited by a moderator:
Usijidai kujichekesha, hizo shule watu kama wewe huwa mnaenda kujifunza ujinga.

Kitu mbele ya macho yako halafu hicho hicho unakosea, halafu unakuja hapa badala ya kukubali kuwa ni kosa na utajirekebisha unajidai ujanja wa kijinga. Pole sana.

we ni mwenda.wazimu.... huwa hukosei?
 
Patrickn


Sasa hapo Biblia inapingana na science or its just a joke?


Biblia inauhalali wa kupingana na science.

Mfano ni hii, kutembea juu ya maji, fimbo kutenganisha bahari, Mimba kutungwa kwa uwezo wa roho mt, Kupaa mbinguni etc.

Unatakiwa umwombe roho mtakatifu akuondolee majini yaliyokuingia tangu udongo, ulipokua unakaririshwa aya za majini.
 
Angalizo kwa mleta thread: Kwenye title neno sahihi ni argue siyo urge.

Halafu sidhani kama mwalimu alimwelewa mtoto maana angefoka sana na ingewekwa kwenye stori hii.

asante kwa kunirekebisha, sio kama huyu bi kizee faiza soksi badala anajifanya mungumtu..
 
Back
Top Bottom