Never underestimate a person....!!!

Never underestimate a person....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
FB_IMG_1505963549821.jpg
 
Naona picha na emoji tu, mwenye tafsiri ya kiswahili ya kichwa cha habari na hayo maneno anipe tafadhali
 
Ni sawa na kwenda kuposa sehemu,mwenye binti akudharau kwamba wewe si muoaji kwa hasira unaamu kuwalipia posa mabinti wote wanne wa familia pamoja na mama yao!
 
Kuna siku nilikuwa natazama interview ya mcheza soka wa zamani wa Southampton Jame Beattie. Huyu jamaa siku moja mitaa ya London aliona showroom ya Porsche. Akajongea kuuliza bei ya Porsche 911, salesman akamwambia you cant afford it, nafikiri bei ilikuwa kama £120,000. Mshahara usiozidi wiki mbili kwa huyu mcheza soka.

Basi jamaa akaenda kitongoji kingine akanunua same car, akarudi nalo kwenye ile showroom akamuita yule salesman akamuonesha dole la kati akasepa! Hapo salesman kashapoteza commission ya kama £10,000!
 
ME naziangaliaga hizi videos huwa zinaniacha hoi
 
Ni sawa na kwenda kuposa sehemu,mwenye binti akudharau kwamba wewe si muoaji kwa hasira unaamu kuwalipia posa mabinti wote wanne wa familia pamoja na mama yao!
Hahahahaha sasa hiyo itakua ya karne mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom