Never Trust Women!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,812
12,406
Hapa sasa sijui nani kamkasirisha mwenzake..

mmh.jpg
 
jameeyla

Senior Member
Aug 12, 2011
119
29
i guess fanya vice versa NEVER TRUST MEN,,,,,,Pic inaonyesha mwanaume haaminiki ndiyo maana mwanamke kajitayarisha kujihami just incase she gets attacked.....
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,812
12,406
i guess fanya vice versa NEVER TRUST MEN,,,,,,Pic inaonyesha mwanaume haaminiki ndiyo maana mwanamke kajitayarisha kujihami just incase she gets attacked.....
ahahahahaah!!! Inawezekana kweli anajihami, lakini mbona jamaa kama kashika maua ikiwa ishara ya kuomba msamaha. Huenda waligombana kabla na mwanamke anajilinda.
 
Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,304
291
uyo jamaa alikuwa anaenda kumuomba msamaha, na mwanamke alivyokuwa na huruma mbona atatupa kisu chini tu
 
Natalie

Senior Member
Sep 25, 2011
165
27
Inaonekana jamaa anacheat sana, na akishtukiwa amezoea kumpoza mkewe kwa vijizawadi, sasa mkewe keshamchoka na leo atamtambua, lazima amuweke jeraha akawaonyeshe vimada wake, aache hiyo tabia, maana siku nyingine atajeruhiwa kwenye mashine yake kabisa, akose hamu hata na huyo kimada, aache upuuzi wake ili mkewe atulize hasira dhidi yake.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Hio picha says a lot... Kwamba the guy has played the woman a lot na siku zoote akishika maua na kuenda mbembeleza mwanamke hulainika... BUT With time mwanamke kachoka anataka kumkomesha (for mpaka mwanamke kafika huo uamuzi ina maana yamemfika shingoni!)
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
i guess fanya vice versa NEVER TRUST MEN,,,,,,Pic inaonyesha mwanaume haaminiki ndiyo maana mwanamke kajitayarisha kujihami just incase she gets attacked.....
QUOTE=Ulimakafu;2633336]Ilikuwaje tena?au jamaa anacheat sana?[/QUOTE]
ahahahahaah!!! Inawezekana kweli anajihami, lakini mbona jamaa kama kashika maua ikiwa ishara ya kuomba msamaha. Huenda waligombana kabla na mwanamke anajilinda.

jamaa amecheat huyo. anadeserve hilo li bisu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom