Never trust a woman


^^
Horseshoe Arch
Asante kwa kisa chenye fundisho
^^
 
Last edited by a moderator:

Dhana nzima ya kuamini inanipa tabu sana kuitafsiri kwenye eneo hili!!
 


never trust a woman bean ooh!!!just meant a human being
 
^^
Inasemekana mkiaminiwa mnabadilika sana katika mahusiano,,Munkari can you be trusted?
^^

inategemea kama ni mwanamke kigeugeu ni lazima awe kinyonga!! Miye kwanin nsiaminiwe? Jembe mwenyewe!!!
 
Dhana nzima ya kuamini inanipa tabu sana kuitafsiri kwenye eneo hili!!

^^
Karibu Mwanafalsafa wa JF..
Mkabala wa imani unaotaka tutumie ni upi,,wa
theology,
metaphysics,
epstemology,
existentialism,
Realism,
Idealism au upi ili tupate dhana ya imani katika kuamini.
Eiyer
^^
 
Last edited by a moderator:


Ulikua ujamalizia huo msemo : "Never trust a woman except your mother"
 
Wa Kwang ninamuamini na ndio maana sina nyoka mfukoni , nina amani tele for 27 yrs sasa
 
Ni msemo unaoishi, ukibisha leo basi kesho utakubali.
Except to my beloved Mother
 
Hapo kwenye bold nitajisikia vibaya sana iwapo nitaambiwa siaminiki au siaminiwi. Lkn namshukuru Mungu Mume wangu ananiamini na ninamuamini nje ya hapo hao wengine wote hata wasiponiamini sintojali sana.
 

Ni ww kweli!!?
..ipo wapi imani yako my dia?
...umesahau kuwa our rigth to receive anything based on his blood(Jesus)' camon
 
^^
Karibu Mwanafalsafa wa JF..
Mkabala wa imani unaotaka tutumie ni upi,,wa
theology,
metaphysics,
epstemology,
existentialism,
Realism,
Idealism au upi ili tupate dhana ya imani katika kuamini.
Eiyer
^^

Mkuu!
Kila ninapojiuliza kuhusu kuamini kwenye eneo hili sipati jibu kwakuwa kuna mkanganyiko sana
Labda ili tupate pa kuanzia hebu niambie unaposema wewe usimwamini mwanamke unakuwa umetumia tafsiri ipi kati ya hizo ulizoorodhesha hapo juu?
 
Tuambieni basiii why don't we worth a trust??? Ni wabwabwaji hatuwezi kutunza siri au ni vigeugeu kwenye issues flaniflani au ni wasaliti au tatizo letu nini?
Manake hata maofisini deals zinapigwa juu kwa juu unakuta unaambulia mgao, hujui ilipita saa ngapi na aje.
 

yani hiyo ipo pande zote
mi mwanaume kumuamini ni ngumu
na yeye asiponiamini pouwa tu,binadamu
hatutabiriki atiii!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…