Never push changes on Friday

Never push changes on Friday

Inabidi awe mpole kuna mada zingine ukiingia cheza kwa step
JF wanapitia US
Wanalindwa na Clouflare

1747437043381.png
 
Shida unapush feature A mpya umeitest fresh kumbe huku behind the scenes ume break feature B obscure case
 
Mambo ya RFC, Request for Change
Inayotakiwa kupitia Change Advisory Board (CAB) upate blessing zote....
Yakibuma, unakuwa una nafuu ya kujitetea.....
Au huku watu wanapandisha tu, na maombi na sala kibao....
Hao wadau mara nyingi huwa wapo ushahidi tu, wana amini expert amesha fanya mambo yake sawa sawa
 
Back
Top Bottom