Shyshka Reinhardt
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,286
- 2,303
Hii kitu nilipitia miaka ya nyuma kidogo sio miaka hii,kama nina uhakika na nilichokiandika wala hata siwazi chochoteHuwa sielewi mtu unawezaje kupandisha changes bila ya ku runtest, kila nikitaka kujaribu ku deploy hata kwenye staging environment roho huwa nahisi kuna ki sauti kinaniuliza kwako local ina run fresh??!!