Never mess with the Russians

Never mess with the Russians

sasa pumba zote za nini humu nchi yenu haijiwezi Kwa lolote then utadhan wewe ni mkuu wa kitengo fulani cha kijeshi Kwa nchii unayoizungumzia kumbe hata kutengeneza diode hujui
Hehehe miungu wako wamarekani wanawaogopa
We was dunia ya tatu ambaye hata kiwanda cha sindano huna unasema hawana lolote
Duuu wonder shall never end wallah
 
Acha kuropoka ww
Marekani tu hawana itakua hyo bongo?
Wakati mwingine kabla ya kuposti acha ushabiki kwanza tutaelewana.


Kwa akili yako unadhani hiyo ni tech ya hatari saana!!!!!huo upuuzi ndege za bongo zinafanya ni uzoefu wa rubani tu.hutaki endelea kurukaruka.
 
Inatia hasira
 

Attachments

  • QcPGXTU.jpg
    QcPGXTU.jpg
    194.4 KB · Views: 33
  • QcPGXTU.jpg
    QcPGXTU.jpg
    194.4 KB · Views: 36
Manuvarability ndio cha ajabu mkuu. Hakuna anaesema haiwezi kupigwa. Kifupi teknolojia iliotumika hapo ni ya hali ya juu sana. Kumbuka sisi tz hata baiskeli bado hatujaanza kuunda!
Tz ya viwanda??
 
Mbona hamna afterburner....sio RC jet hiyo?
Sikiliza vizuri au soma maandishi kwenye link. Hiyo in new technology ya kufikia hypersonic speed bila ya kutumia afterburners. Hawajasema kama haina afterburners.
 
Back
Top Bottom