MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,441
- 69,251
Kwa iyo ulichoandika hapo kinatofauti gani na mimi nlichoandika kule juu...wwe utaja vita ambazo silaha za kirusi zilitumika na zikashinda,Mimi nmetaja ambazo silaha za u.s zilitumika wakashinda vita...So point yangu ni kumjibu huyo Akili ndogo mwenzio aliyesema silaha za U.S ni ghali na hazina kitu...
Pia mlichokileta hapa ni one sided story na show off za kawaida ambazo kwe real combat ni meaningless....
Afu next tyme usiwe na hasira mzee Lumimba,tulia na jenga hoja kwa utulivu,kejeli na dharau za kitoto azikusaidii na wala hazitobadili chochote....
The super power atabaki kuwa ivyo unless otherwise itokee wa kum beat...
It cost to be a super power bro,sio show off za kipuuzi hiz mnazoleta hapa,you hav to prove it....
Unaniita brother wako kwa misingi ipi?
Halafu siyo lazima u-quote post yangu.
Kama unaona hoja zangu ni za kitoto, fallacious, na upuuzi wewe uchune tu.
Wenye kunielewa washaelewa, kulalamika hakutakusaidia mtoto wa kiume wewe kaza msuli.