Never mess with the Russians

Never mess with the Russians

Inaonekana unatumia nguvu badala ya akili. Kwanza nataka nikwambie hakuna vita ndogo wala kubwa. Vita ni vita.

Pia kama USA alishinda vita ya Gulf, mwaka 2003 arudi tena kufanya nn?

Russia vita zote alizoenda against US arms kashindwa.we adi us anatengeneza mbadala wa f15 eagle huku haijawai kuangushwa kwenye mission na kutengeneza another ambayo ni 40 times stronger???
Russia ni nchi kubwa sawa lkn hana uwezo na nguvu za kijeshi kama US na russia anachojivunia ni only Nuclear weapons ambazo wote wanazo na putin mwenyewe anajua hilo ndo maana alipoulivzwa kama NATO wakija kuchukua back Crimea akasema hatasita kufungulia nuclear arsenal yake
 
Tengeneza tu hata ka helicopter ka mbao, bongo unaletewa pingu badala ya kuwa supported. Shameful!
 
U call them mbwembwe sababu hujui maana zake if u cud u cud zip yo fu.ckin mouth and wondering marekani atafikia lini hyo technology

Thats not technology thats maneuvering
Real technology is taking it into fire without it seeing you
 
Kabla ya kucomment u cud just take a minute and think
Those manouver are for dodging missiles wenzio wameadvance we unawaza kimaskini hvyo what ashamed dude

Nonsence you cant dodge a missile from another plane but you can dodge from old antaircraft
 
ni wapi humu imeandikwa kuwa hiyo ndege ni bora kuliko zote?
sasa pumba zote za nini humu nchi yenu haijiwezi Kwa lolote then utadhan wewe ni mkuu wa kitengo fulani cha kijeshi Kwa nchii unayoizungumzia kumbe hata kutengeneza diode hujui
 
U call them mbwembwe sababu hujui maana zake if u cud u cud zip yo fu.ckin mouth and wondering marekani atafikia lini hyo technology
Half jarbu kutmia lugha ya kistaarab bhas...jiheshim nikuheshim
 
I can see you're very much driven by emotion than facts..now lets go slowly..

Fact #1: Iraq war....did USA win the war?
Ans. big NO. The war is still going on.
Loser: USA.
Evidence: Republican lost election to Dem because American were tired of the number of death of their solders.

Fact #2: Gulf war..Do you really know how many contries were involved in this war? Which weapons were used? Unless you tell me germany, uk, french weapons are counted as USA. Nevertheless USA did not win the war outright Sadam survived for the next 13yrs or so and USA has to start another war i.e Iraq war to finish the unfinished war. Refer Fact#1 above.

Fact #3: Afghanistan war. If you were clever you wouldn't put that war as reference. Remember the war there is not over and USA is the biggest loser.

Fact #4: Six day war and Yom Kippur. It seems you don't even understand the secret behind Israel victory. So i wont go for it.

Now look here how the real men win the war:

Georgia vs South Osetia.
Outright winner South Osetia.

Crimea(Ukraine) vs Russia
Outright winner Russia


Russia vs Georgia
Russia crashes Georgia in five days
Russo-Georgian War - Wikipedia, the free encyclopedia

Abkhazi vs Georgia
Outright winner Abkhazia

Yemen Houth rebels vs Saudia Arabia n its allies
Winner Houth. They are now in control of 3/4 of the country

Hezbollah vs Israel 2006
Results..Hezbolla win
2006 Lebanon War - Wikipedia, the free encyclopedia
we nawe ndo walewale
 
ninakusamehe bure
moja kati ya targets za msingi katika vita huwa ni viwanja vya ndege za kivita kupigwa mabomu kwenye runways ili kuzuia ndege kukimbia kwa kasi na kuondoka kwenda kufanya mashambulizi. sasa kwa technology kama hii ya Russia, hii ndege inaweza kutoka straight kwenye hanger na kuruka pasipo kuhitaji momentum ya kuanza kumbia.......!!!!!!!!!!!!!!
SU-30 Haina hio capability mkuu
 
Weka evidence ya vita ambazo zilihusisha silaha za US na Russia tuone nanin mbabe
me natoa mifano hapa
1.iraq war
2.gulf war
3.afghanistan war(mujahdeen against russian invension)
4.Six day war
5.yom kipur war
6.....
weka na wewe zako tuone sio kuongea porojo bila evidence
Silaha alikuwa nazo Hitler wewe na alishikwa sehemu mbaya si you huyo toy maker
 
We jamaa unaongea kinafki na kishabiki sana..yaani kwa kili zako hadi sasa hivi unasema iraq war U.S walishindwa?
kichekesho cha mwaka,halafu ulivyo ****** unasema hoyuth rebel wameshinda vita yemen,wakat still war is going on..
1.Kichwa maji unataja eti russia alishinda vita crimea,ivi kulishawahi tokea vita pale au ilikuwa referendum iliyopelekea crimea kujitenga peacefuly
2.vita zote za istrael walishinda kwa kutumia silaha za u.s against useless russsian arms..kama hutaki bas utakuwa na sabab zako either za kidini au za kishabiki zinazopelekea ushindwe ku accept the fact
3.umenitajia vita ndogo sana alizopigana russia,vita za kitoto
4.vita niliyokutajia kati ya Mujahdeen na russia ni enzi za cold war sio hii ya sasa ya hawa ma taliban..vita hiyo russia alikimbia vibaya sana kwa aibu ...silaha walizokuwa wanatumia mujahdeen ni kutoka U.S na walishinda vita against the powerfull ussr
5.Gulf war nimeitaja kwa sababu U.S ndio alichangia 70% ya silaha na kila kitu hadi steath bombers F-117 zilizoenda kuharibu infrastructure za radar za sadam.
6.mpaka sasa hajaweza kunishawishi ni ki vipi na ni wapi silaha za Russia zilishawahi kuwa best against U.S
Vietnam war
 
Russia vita zote alizoenda against US arms kashindwa.we adi us anatengeneza mbadala wa f15 eagle huku haijawai kuangushwa kwenye mission na kutengeneza another ambayo ni 40 times stronger???
Russia ni nchi kubwa sawa lkn hana uwezo na nguvu za kijeshi kama US na russia anachojivunia ni only Nuclear weapons ambazo wote wanazo na putin mwenyewe anajua hilo ndo maana alipoulivzwa kama NATO wakija kuchukua back Crimea akasema hatasita kufungulia nuclear arsenal yake
Acha porojo mkuu, katika nyanja ya Siraha Urusi yuko vizuri kila idara na sio nuclear pekee,
Ukitaja Top 5 ndege bora za kivita hukosi za Urusi kama mbili tatu
Kwenye Vifaru kwa sasa ana Amarta kama ijakosea na hana mpinzani
Kwenye Helcopta hana mshindani
Kwenye Mfumo wa kujirinda hana mpinzania S-400, S-500

Sehemu pekee ambayo USA anamshindia Urusu ni Kwenye Meli za kivita hapo pekee, na Urusi kwa sasa ana pambana kupunguza gap la Meli za kivita, hakunasehemu nyingine ambayo USA ana mshindi Urusu zaidi ya Meli za kivita but Russia ana mshinda USA kwenye sehemu nyingi sana,
- Nyambizi
- Mifumo ya kujirinda
-Vifaru
-Helcopta
- Makombola
- Kwenye ndege za kivita almost wako sawa
 
Russia vita zote alizoenda against US arms kashindwa.we adi us anatengeneza mbadala wa f15 eagle huku haijawai kuangushwa kwenye mission na kutengeneza another ambayo ni 40 times stronger???
Russia ni nchi kubwa sawa lkn hana uwezo na nguvu za kijeshi kama US na russia anachojivunia ni only Nuclear weapons ambazo wote wanazo na putin mwenyewe anajua hilo ndo maana alipoulivzwa kama NATO wakija kuchukua back Crimea akasema hatasita kufungulia nuclear arsenal yake

Armata tank, jaribu kusoma sifa zake
f-armata-a-20150506.jpg


Russia to test unstoppable 'Satan 2' stealth nuke capable of wiping out an ENTIRE NATION

Russia is preparing to test-fire a nuclear weapon which is so powerful it could reportedly destroy a whole country in seconds.

The "Satan 2" missile is rumoured to be the most powerful ever designed and is equipped with stealth technology to help it dodge enemy radar systems .

This terrifying doomsday weapon is likely to strike fear into the hearts of Western military chiefs, as current missile defence technology is totally incapable of stopping it.

Its official name is the RS-28 Sarmat and it will replace aging Soviet R-36M missiles, which NATO military experts nicknamed "Satan".

"In this sense, the Sarmat missile will not only become the R-36M's successor, but also to some extent it will determine in which direction nuclear deterrence in the world will develop," the Russian news network Zvezda reported .



Have your say in the comments below





Reuters
Atomic-Bomb.jpg

Kaboom: Nuclear missiles can strike anywhere on Earth


Read more : Apocalypse on the way? Scientists fear asteroids, killer robots and deadly diseases could wipe out humanity

The missile is expected to be capable of delivering up to a dozen warheads, allowing to effectively destroy an area the "size of Texas or France", the broadcaster continued.

It is expected to have a range of 10,000 km, allowing Moscow to attack European cities including London as well as major cities on America's west and east coasts.

Russia views U.S. missile defense system as a 'threat'
Russian fighter jet flies within 75 feet of U.S. ship

160413085657-uss-donald-cook-small-169.jpg

Kerry: U.S. could have shot down Russian jets
160404174155-putin-panama-papers-lklv-chance-00000818-small-169.jpg

Russia dismisses Panama Papers' findings
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Shaaban: Russians will continue to fight terrorism
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Peace talks comes amid fragile ceasefire
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Russia to pull its troops out of Syria
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Russia to withdraw forces from Syria, reports say
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


'Russia helped Damascus to survive,' says former Russian MP
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


ISIS not a part of Syrian truce
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Russia: Talk of a plan B for Syria 'very unhelpful'
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Tensions rise over Russia's air campaign in Syria
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Medvedev: Calls relations with West a 'new Cold War'
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


NATO buildup v. Russia
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


British diplomat: Syrian ceasefire depends on Russia
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


U.S., Russia dispute Aleppo bombing
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Plane crash still hurting tourism in Egypt
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Syrian refugees are stranded as Russian airstrikes advance
upload_2016-6-18_22-55-9.gif


Russia says it has a 'concrete plan' in Syria crisis

West must 'put a lot of pressure' on Russia over Syria
160415165442-russian-submarine-buildup-sciutto-dnt-lead-00000905-small-169.jpg

U.S. Navy alarmed by Russian submarine buildup
160512182818-us-missile-defense-system-russia-tensions-tsr-dnt-starr-00002824-small-169.jpg

Russia views U.S. missile defense system as a 'threat'
[paste:font size="4"]

Kerry slams Russia's close encounter with Navy destroyer

"NATO is viewed as an existential threat to Russia, and in the post-Cold War period, the expansion of NATO eastward closer to Russia and our military capability they view as a very visceral threat to Russia," Adm. Mark Ferguson said.
Ferguson spoke from his base in Naples, Italy, home to U.S. Naval forces in Europe and the Navy's 6th Fleet.
Adding to U.S. apprehension, Russia is deploying new submarines that are harder for U.S. naval forces to track and detect following years and billions of dollars in investment.
They are quieter, better armed and have a greater range of operation
maxresdefault.jpg

 

Attachments

  • upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    57 bytes · Views: 46
  • upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    57 bytes · Views: 40
  • upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    57 bytes · Views: 43
  • upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    57 bytes · Views: 49
  • upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    upload_2016-6-18_22-55-9.gif
    57 bytes · Views: 42
Thats not technology thats maneuvering
Real technology is taking it into fire without it seeing you
That's makes me wonder if u even knw wht technology is(no offence)
 
Nonsence you cant dodge a missile from another plane but you can dodge from old antaircraft
You can't but they can
Ts a shame if u still can't see the difference bado
 
Back
Top Bottom