EXAVElINAH
New Member
- Jul 19, 2021
- 2
- 0
Jaman naomben ushauri, nataka kununua laptop kwa ajili ya kwenda kusoma degree na masters ya IT je ni aina gan ya laptop ambyo ni mzur?
Eka firewall, ruhusu app unazo taka zitumie internet, kuna mdau juu kapost firewallNimefanya kila namna kama wadau walivyoshauri lakini naona usenge uleule tu.hapa 300Mb imeisha ndani ya dk 20 tu kwa kuperuzi JF tu.
Hizo degree zote unazisoma pamoja?Jaman naomben ushauri, nataka kununua laptop kwa ajili ya kwenda kusoma degree na masters ya IT je ni aina gan ya laptop ambyo ni mzur?
Step by step guide tafadhaliEka firewall, ruhusu app unazo taka zitumie internet, kuna mdau juu kapost firewall
Ethernet nafkiri huwezi kuifanya iwe metered connection that's why.Halafu nimegundua hata nikitumia computer kwa kuunganisha na waya data inalika kama kawaida ninasuspect connection ya router inafanya kazi that way mb zinakimbia kwelikweli
Soma comment ya Watu8 yeye ametumia data tracker, zipo nyengine kama glasswire etc.Step by step guide tafadhali
Kwa mimi ninavofahamu.. ukiwa unatumia Wi-Fi kuna baadhi ya apps zinakua zinafanya updates ya kitu chochote pale kinapohitaji huduma.. ila kama unatumia internet ya kwenye sim uwa ni mpaka uruhusu matumiz hayo.. cha kufanya tembelea apps zote fanya setting ya kisitisha matumizi automatic.. kama telegram na WhatsApp pia huwa zina download media automatic nazo fanya kuziset off..Kwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu kinachonisikitisha bundle linaisha haraka kuliko nikitumia njia ya kawaida ya kuweka line kwenye simu.
Inaonekana data zinaenda hata kama haubrowse kitu. Imagine kuna siku nimenunua bundle ya data ya 1.2GB nimeshinda tu Jamii Forums kuangalia post mara bundle limeisha. Swali langu ni je kuna setting pengine nikifanya ninaweza kudhibiti hiki kitu?
Hamna sema device unazotumia ndio zinamaliza bandoKwa mimi ninavofahamu.. ukiwa unatumia Wi-Fi kuna baadhi ya apps zinakua zinafanya updates ya kitu chochote pale kinapohitaji huduma.. ila kama unatumia internet ya kwenye sim uwa ni mpaka uruhusu matumiz hayo.. cha kufanya tembelea apps zote fanya setting ya kisitisha matumizi automatic.. kama telegram na WhatsApp pia huwa zina download media automatic nazo fanya kuziset off..
Soma comment ya Watu8 yeye ametumia data tracker, zipo nyengine kama glasswire etc.
Kazi ya firewall ni ku track kila mb inayoingia na kutoka kwenye kifaa chako. Itakupa data halisi na zipo more advanced compare na built in solution kwenye kifaa chako.
We iweke maelezo yake na user interface inakuwa rahisi kuielewa. Kama kuna tatizo tutaangalia zaidi.
Huu mtego unaliza sana wale wema wanaounga watu hot-spot kishkajiUkitumia wifi Simu automatic inajua ni unlimited inaji update, kama Kuna apps playstore zipo outdated miaka kadhaa zote zitaji update.
Sema ikimaliza ku update itakuwa kawaida tu.
Disable window updateKwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu kinachonisikitisha bundle linaisha haraka kuliko nikitumia njia ya kawaida ya kuweka line kwenye simu.
Inaonekana data zinaenda hata kama haubrowse kitu. Imagine kuna siku nimenunua bundle ya data ya 1.2GB nimeshinda tu Jamii Forums kuangalia post mara bundle limeisha. Swali langu ni je kuna setting pengine nikifanya ninaweza kudhibiti hiki kitu?