Network mpaka huku...

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,523
14,392
Jamaa mmoja alifika kijijini kwao kakuta mtandao wa simu unapatikana.. akaamua kumwandikia meseji mke wake.. bahati mbaya akaituma kimakosa kwa mwanamke ambaye alikuwa amefiwa na mumewe... Yule mwanamke aliipokea meseji ili aisome kwa sababu watu walikua bado wanaendelea kumtumia meseji za kumfariji....
alipoisoma meseji akazimia....
mwanae kuona mama yake kazimia kaichukua simu akaanza kuisoma ile meseji... ilikuwa imeandikwa

" MKE WANGU MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS YANGU HII HUKU NAKO MTANDAO UPO KAMA HUKO NIMEFIKA SALAMA NA MATAYARISHO YA WEWE KUJA KESHO YAPO TAYARI NAKUSUBIRI HONEY"
 
khaaaaaaaaaaaaaaa hahahhahahahhahahahahahahahahahahahahahhahahaha
hahahahhahahaha...................!
mama kuleeeeee..............! wakati unaweza kukuta hapo alikua analia "bora tungekufa woooteeee....."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom