Network inakata juu ya Neymer

Network inakata juu ya Neymer

kwa kiingereza hiki
neymar utaendelea kumuona kwny picha zinazobandikwa saluni za kiume!

Chinekeeee mbavu zangu mimi, yani sijui unatoaga wapi maneno yako jamani, eti ataishia kumuonaa kwenye picha zinazobandikwa saluni za kiume

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa kiingereza hiki
neymar utaendelea kumuona kwny picha zinazobandikwa saluni za kiume!

Ivi vitoto vinavyoita baba zao dad ni vimbumbumbu kweli, akili zao zinawaza kufanya mapenzi na Diamond tu.
 
hivi umukagame bado uko kwenye foolish age?

ni swali tu, usinielewe in negative sense...

Neymer kwa upepo wa mpira anweza akakuvunja kiuno ujue..

Hapna sasa niko mkubwa

Nampenda neymer nitaenda brazoo mie lol
 
Last edited by a moderator:
Huyu umukagame ananikera sana hapa jf...stupid..!
 
Last edited by a moderator:
Chinekeeee mbavu zangu mimi, yani sijui unatoaga wapi maneno yako jamani, eti ataishia kumuonaa kwenye picha zinazobandikwa saluni za kiume

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahahahaha unafikiri uongo?
sasa we unafikiri ataweza hata kumsearch gugo?
akiandika neymer si gugo inaweza mletea dawa ya kuulia viroboto ?
 
form 3D ?
labda hii ya "marehemu" Mulugo

hahahaaa..! ndo hizo dada snow.. madarasa ya most vilazest of all!

watoto wakorofi, tukutu mpaka basi.. wanatupwa D hukooo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom