Network inakata juu ya Neymer

Network inakata juu ya Neymer

Hapana sihitaji copy namuhtaj de rill neymer jr cjui nitafanya nini mie lkn soon nitaenda brazooo

kwa akili yako utampata wapi bora upate copy yake kutoka kwangu
 
kwa kiingereza hiki
neymar utaendelea kumuona kwny picha zinazobandikwa saluni za kiume!
Umeacha kufundisha twisheni?
kula kichwa hicho japo inakubidi uandae fimbo za kutosha kama unaenda kuchunga punda
 
Hapana sihitaji copy namuhtaj de rill neymer jr cjui nitafanya nini mie lkn soon nitaenda brazooo

Mmh.ndugu kwenda brazil haimaansh utapata muda wa kuongea na neymer..itakuwa kula tu story kwenu na wananchi wenzio wa kawaida.unamchukulia poa eeeh🙄🙄
 
Hivi wewe ni mBrazili eti?na dad he yako je?watoto wa kike siku hizi wanakaa kujadili mapenzi na "dad" zao wanashindwa kukaa na mama,dada,shangazi au bibi!!haya mwambie "dad he" akukatie tikti kabla hawajamaliza mechi basi,
Ili iweje! Watz mko ramshackle sana
 
Back
Top Bottom