Rene Jr. JF-Expert Member Jan 31, 2014 3,714 2,372 Jan 7, 2016 #2 Kwa data plans za bongo ni maumivu sana, bora nilipie laki mbili DSTV halafu movies niendelee kupirate!
Kwa data plans za bongo ni maumivu sana, bora nilipie laki mbili DSTV halafu movies niendelee kupirate!
lau_23 Member Nov 11, 2011 44 24 Jan 7, 2016 Thread starter #3 Data plans zinatesa.. hope JPM atalitizama na hilo.
Rene Jr. JF-Expert Member Jan 31, 2014 3,714 2,372 Jan 7, 2016 #4 Ngoja nijisajili ili nipate offer yao ya mwezi nione, zikifika siku 29 tu nachomoka kabla hawajaanza kukata maheraaa!
Ngoja nijisajili ili nipate offer yao ya mwezi nione, zikifika siku 29 tu nachomoka kabla hawajaanza kukata maheraaa!