cuth_chris Member Joined Jul 4, 2016 Posts 51 Reaction score 47 Mar 19, 2021 #1 Wale wanangu wa Netflix nakuletea mzigo huu hapa. Pata Netflix iliyofanyiwa mambo (Cracked) ambayo hutahitajika kulipia ni Bando lako tuu. Price: Tsh. 5,000/= Call/Sms: 0689 292 800 WhatsApp: 0712 059 611
Wale wanangu wa Netflix nakuletea mzigo huu hapa. Pata Netflix iliyofanyiwa mambo (Cracked) ambayo hutahitajika kulipia ni Bando lako tuu. Price: Tsh. 5,000/= Call/Sms: 0689 292 800 WhatsApp: 0712 059 611
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,763 Reaction score 19,736 Mar 19, 2021 #2 Wapiga dili mmeanza!!!
Masokwe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2019 Posts 454 Reaction score 686 Mar 19, 2021 #3 Hakuna anaweza crack hio Netflix, hizo huwa ni copy cut
N nuporo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2018 Posts 1,534 Reaction score 3,406 Mar 19, 2021 #4 Ushamba ndoo umeijua leo mpaka uweke hiyo hela?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,548 Reaction score 88,539 Mar 19, 2021 #5 Duuh Hata mwezi haujaisha
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,601 Mar 20, 2021 #6 Iko account moja kutumia watu tofauti (user) but hio ya kucrack sjaiskia [emoji848]
Forgotten JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,636 Reaction score 11,116 Mar 20, 2021 #7 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nani umuuzie Bee TV? Hiyo Bee TV yenyewe wametengeneza wanaume wenzio we unakuja kuuzia watu! Hakuna crack ya Netflix, kajipange.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nani umuuzie Bee TV? Hiyo Bee TV yenyewe wametengeneza wanaume wenzio we unakuja kuuzia watu! Hakuna crack ya Netflix, kajipange.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,967 Reaction score 194,043 Mar 20, 2021 #8 Ahsante kwa taarifa... Ngoja waje...
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,135 Mar 20, 2021 #9 app wametengeneza wanaume wenzio bure, wewe unakuja kulipisha, chunga marinda ayo kijana kwa kupenda mteremko
app wametengeneza wanaume wenzio bure, wewe unakuja kulipisha, chunga marinda ayo kijana kwa kupenda mteremko
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,638 Reaction score 47,699 Mar 20, 2021 #10 Mbona mnakuwa wakari wadau? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,085 Mar 20, 2021 #11 mkorea said: Wapiga dili mmeanza!!! Click to expand... π π π
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,638 Reaction score 47,699 Mar 20, 2021 #12 mkorea said: Wapiga dili mmeanza!!! Click to expand... Hawatako kusubiria hata azikwe
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,541 Reaction score 6,018 Mar 21, 2021 #13 hiyo huwa tunapigiana assist bure .