UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 509
Fanless??? Kwenye maswala ya cooling ndio inakuwaje?
mkuu kuna mashine ya bibie wangu ni hp moja balaa. core i7 haina feni. ila haipati moto yani hata saa nzima utaona ni ya baridiiiii
Fanless??? Kwenye maswala ya cooling ndio inakuwaje?
mkuu kuna mashine ya bibie wangu ni hp moja balaa. core i7 haina feni. ila haipati moto yani hata saa nzima utaona ni ya baridiiiii
Hata ukicheza game kama Need for Speed haichemshi?
Hata ukicheza game kama Need for Speed haichemshi?
amd machines unaweza kukaangia hata mboga kabisa!!haichemki na ikichemka ni kama simu sio ile sanaaa.
ila kuna baashi ambazo zinachemka hizi zinakuwa ni zile ambazo ni powerfull sana kama za i7.
mi sifahamu wamefanya nini hadi zimekua hivyo nafkiri ni siri yao wenyewe na wakiitoa amd nao watacopy
inakuwa ya baridiiii kama imewekwa chini. nadhani teknolojia hii mpya sijui wametumia nini labda chief-mkwawa atufafanulie zaidi