Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

Israel kuna dini tatu...uyahudi,ukristo na uislam...dini ya Uyahudi ambayo Netanyahu ni muumini wake wana kitabu cha kitakatifu kinachoitwa TANAKA....wana Mungu wao anaeitwa EL SHADAI na wana nabii wao anaitwa YAHUDHA...kutokana na jina la nabii wao yahudha ndi wakajiita wayahud, yaani wafuasi wa yahudha...Yesu hawamtambui na kwenye kitabu chao hayupo!
Biblia haisemi hayo uliyoandka
 
Israel ndio muasisi wa ugaidi duniani. Taifa la shetani....MIMI NAWALAANI WAISRAEL KWA USHETANI WAO
Unawalaani kwasababu wewe ni mlaaniwa,imeandikwa utakaye walaani naye atalaaniwa na atakaye wabariki naye atabarikiwa,Mimi naungana na Wamarekani kuwabariki hawa watu milele.

Unajua tatizo la waarabu na waislamu ni kuwa,wamefanikiwa kuwafundisha watoto wao uongo toka wakiwa wadogo,nakuwalisha sumu ya chuki ambayo inabebwa kizazi hata kizazi.Pasipo kuchunguza ukweli wa kile walicholishwa,na kama yasemavyo maandiko kua kila amchukiaye ndugu yake ni muuaji,hivyo wanaendelea kuua na kuuana
 
UNawalaani kwasababu wewe ni mlaaniwa,imeandikwa utakaye walaani naye atalaaniwa na atakaye wabariki naye atabarikiwa,Mimi naungana na Wamarekani kuwabariki hawa watu milele.

Unajua tatizo la waarabu na waislamu ni kuwa,wamefanikiwa kuwafundisha watoto wao uongo toka wakiwa wadogo,nakuwalisha sumu ya chuki ambayo inabebwa kizazi hata kizazi.Pasipo kuchunguza ukweli wa kile walicholishwa,na kama yasemavyo maandiko kua kila amchukiaye ndugu yake ni muuaji,hivyo wanaendelea kuua na kuuana
Nasema tena NAWALAANI WAISRAEL KWA UGAIDI....ISRAEL WAMEUA SANA WATOTO WA KIPALESTINA NA KIARABU WASIO NA HATIA ! ISRAEL NI TAIFA LA KISHETANI LIMELAANIWA! NAWALAANI NA NITAWALAANI MILELE HAWA WAUAJI
 
Nasema tena NAWALAANI WAISRAEL KWA UGAIDI....ISRAEL WAMEUA SANA WATOTO WA KIPALESTINA NA KIARABU WASIO NA HATIA ! ISRAEL NI TAIFA LA KISHETANI LIMELAANIWA! NAWALAANI NA NITAWALAANI MILELE HAWA WAUAJI
UMEKUA BRAINWASHED,NANI HAJUI WAARABU WANAVYOJIKINGA NA WATOTO ILI KUTENGENEZA PROPAGANDA,waarabu ndio MASHETANI wanaojiua na kuua watoto wao.JIDANGANYENI WENYEWE HUKO MSIKITINI HUKU TUNAWAJUA SANAAA
 
UMEKUA BRAINWASHED,NANI HAJUI WAARABU WANAVYOJIKINGA NA WATOTO ILI KUTENGENEZA PROPAGANDA,waarabu ndio MASHETANI wanaojiua na kuua watoto wao.JIDANGANYENI WENYEWE HUKO MSIKITINI HUKU TUNAWAJUA SANAAA
Narudia tena Israel ni Taifa la kishetani na nalilaani.....kujikinga na watoto sio sababu ya kuwaua hao watoto....ni mara ngapi Israel imeua watu wasio na hatia kwa mabomu sokoni, hospitalini ? ISRAEL NI TAIFA LILILOLAANIWA!
 
Nasema tena NAWALAANI WAISRAEL KWA UGAIDI....ISRAEL WAMEUA SANA WATOTO WA KIPALESTINA NA KIARABU WASIO NA HATIA ! ISRAEL NI TAIFA LA KISHETANI LIMELAANIWA! NAWALAANI NA NITAWALAANI MILELE HAWA WAUAJI
Pia bok H, alxhaa bab, Is wameua pia watu waso na hatia

Mkuu punguza hasira .. Sisi sote ni bindam
.
 
Historia ya Israel imeandikwa kwenye Biblia! Waarabu wanafikiri historia imeanzia 1947!
Ni kweli kabisa,Jina Yerusalem imetajwa kwenye BIBLIA mara 669,kwenye Quran Yerusalem haijatajwa hata mara moja.

Pia Wayahudi wote popote walipo wawe Marekani, Urusi ,Africa au Asia,wakisali huwa wanatazama uelekeo wa Yerusalem lakini Waislam ambao dini yao imeanza miaka 1400 iliyopita nao popote walipo duniani hata wale waliopo pale Jerusalem wakiswali hua wanatazama Macca na siyo Yerusalem
 
Pia bok H, alxhaa bab, Is wameua pia watu waso na hatia

Mkuu punguza hasira .. Sisi sote ni bindam
.
MKUU ISRAEL, BOKO HARAM, AL QAEDA, ISIS , AL SHABAAB WOTE NI MAGAIDI NAWALAANI.....MIMI MTU YOYOTE MUOVU NA MUUAJI NAMLAANI HAIJALISHI NI DINI GANI....WOTE HAWA NI MAGAIDI WA KULAANIWA!
 
Back
Top Bottom