Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

wayahudi hawaitambui biblia kivipi..?
Israel wana dini tatu.....uyahudi, ukristo, na uislamu.....dini ya uyahudi ambayo Netanyahu ni muumini wake hawaitambui biblia wana kitabu chao kitakatifu wanachokiamini kinaitwa TANAKA, wana Mungu wao anaitwa EL SHADAI na nabii wao anaitwa YAHUDHA.....Kutokana na jina la nabii wao yahudha ndio wakajiita wayahudi, yaani wafuasi wa yahudha....Yesu hawamtambui na kwenye kitabu chao hayupo!
 
Hadanganyi

Ni kweli Benjamin Netanyahu yupo sahihi kabisa.

Mwaka 957 BC(kabla ya Yesu) Israel ilijenga hekalu lake la kwanza Yerusalem

Mwaka 352 BC (kabla ya Yesu) Israel ikajenga hekalu lake la pili Yerusalem

Mwaka 691 AD(Baada ya Yesu) Msikiti wa Dome of the Rock ukajengwa juu ya hekalu la kwanza

Mwaka 705AD(Baada ya Yesu)Msikiti wa Alqsha ukajengwa juu ya hekalu la pili.

Sasa nani anatakiwa alalamike,nadhani ni Israel,lakini Israel mwenye haki amekua mstaarabu ila huyu mwingine anayesema ni dini ya amani anafanya fujo na ugaidi kote duniani.
 
hizo nchi kama zinajiweza zikamtoe ISRAEL hapo alipo... maana hadi leo ndiye ana control JERUSALEM
 
Israel ndio muasisi wa ugaidi duniani. Taifa la shetani....MIMI NAWALAANI WAISRAEL KWA USHETANI WAO
 
hizo nchi kama zinajiweza zikamtoe ISRAEL hapo alipo... maana hadi leo ndiye ana control JERUSALEM
HIO SI PRIORITY TENA SASA HIVI PRIORITY NI iRAN,waarabu wako tayari kuungana na israel against iran, si umeona wamelilaan tamko la trump kwa sentensi moja moja tu, yaani malaysia na indonesia kumekuwa na maandamano makubwa kuliko dunia ya kiarabu
 
TRUMP kajua cheza na wao......
Netanyahu na Israel wamekuwa wakitaka huo mji uwe wao, sema hawakupata mtu atakae wapa... wataishia piga kelel tu, kama kuanzia 1948 nchi yao imekaliwa na kila siku ni kelele tu je jerusalem ndio washinde?
 
Wayahudi hawaitambui Biblia??
Israel kuna dini tatu...uyahudi,ukristo na uislam...dini ya Uyahudi ambayo Netanyahu ni muumini wake wana kitabu cha kitakatifu kinachoitwa TANAKA....wana Mungu wao anaeitwa EL SHADAI na wana nabii wao anaitwa YAHUDHA...kutokana na jina la nabii wao yahudha ndi wakajiita wayahud, yaani wafuasi wa yahudha...Yesu hawamtambui na kwenye kitabu chao hayupo!
 
TRUMP kajua cheza na wao......
Netanyahu na Israel wamekuwa wakitaka huo mji uwe wao, sema hawakupata mtu atakae wapa... wataishia piga kelel tu, kama kuanzia 1948 nchi yao imekaliwa na kila siku ni kelele tu je jerusalem ndio washinde?
inabidi waplestine kuwa makini sana aisee maana miaka 30 ijayo yanweza wapata yale ya warohingya.......
 
Waarabu kuiwekea Marekani vikwazo ni comedy,ni mende kuangusha kabati,Marekani ina 25% world nominal GDP,wakati ukijumlisha mataifa ya kiislam yenye GDP kubwa yani Indonesia,Uturuki,Saudi Arabia,Nigeria,Iran,UAE,Misri,Singapore na Malaysia hazifiki 1%
Source,
 
TRUMP kajua cheza na wao......
Netanyahu na Israel wamekuwa wakitaka huo mji uwe wao, sema hawakupata mtu atakae wapa... wataishia piga kelel tu, kama kuanzia 1948 nchi yao imekaliwa na kila siku ni kelele tu je jerusalem ndio washinde?
Subiri uone..
 
Back
Top Bottom