Netanyahu anapambania wayahudi, na sio Israel wala waisrael

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,653
Reaction score
8,000
Niaje waungwana

Kwa mtu asiekuwa na akili kamili au uwezo wa kufikiri vizuri, anaweza akahisi, au akajua kuwa Netanyahu anaipigania Israel, au waisrael. Lakini kwa yule mwenye akili kamili na uwezo mzuri wa kufikiri, ni lazima atakubaliana na mimi kwamb Netanyahu hayupo pale kupambana na kwa ajili ya Israel na Waisrael, bali anapambana kwa ajili ya wayahudi wenzake (haswa wenye asili ya kizungu) na genge lake.

Ikumbukwe kwamba Uyahudi ni imani kama zilivyo imani nyingine za Kikristo, Kiislam, Hindu, Buddha nk. Hivyo kila mtu anaweza kujiunga na imani hiyo, kutokea popote na nchi yoyote. Haijalishi wewe ni native wa nchi iliyotokea imani husika au ni mgeni.

Mfano dini za Ukristo na Uislam zilianzia huko Mashariki ya kati, lkn leo hii ni kawaida kumkuta mgogo akijiita mwanafunzi wa Yesu, au mmatumbi akijiita kijukuu cha Mtume nk. Lakin vilevile kila utapokwenda utakutana na wafuasi wa dini hizi katika nchi mbali mbali.

Sasa basi kwa vile Uyahudi ni imani kama zilivyo dini nlizozitaja hapo juu, pia na yenyewe imeenea katika mataifa mengi duniani. Leo hii ukienda Russia utawakuta wayahudi, ukienda India utawakuta wayahudi tena wahindi original, ukienda Iraq, Iran nk utawakuta wayahudi.

Na sio huko tu hata hapa Afrika pia wapo. Mfano mzuri ni hapo Ethiopia utawakuta wayahudi wa kiethiopia kibao.

Uyahudi sio race, au taifa, bali ni imani ndomaana mpaka wahindi, waethiopia, wazungu nao siku hizi ni wayahudi.

SASA KWANINI NASEMA NETANYAHU ANAPAMBANIA WAYAHUDI NA SIO WAISRAEL NA ISRAEL?

Kwa vile Uyahudi ni imani yenye mchanganyiko wa race tofauti, na watu kutoka mataifa mbali mbali kama zilivyo imani zingine Netanyahu yeye ni myahudi mwenye asili ya Poland (Mzungu). Hivyo hana uchungu sana na Israel au Waisrael, kwa vile hana uhusiano nao wowote wa kiundugu, wala kiutaifa.

Namaanisha yeye hana asili ya Israeli, na hajawahi kuwa na asili ya kabila lolote la Israeli, hivyo hawezi kuwa na uchungu nao wa aina yoyote.

Kinachomuunganisha Netanyahu na Israel kwa sasa, ni huo uyahudi ambao chimbuko lake ni Israel, pamoja na masilahi yake na wazungu wenzake pale Israel. Ndomana siku zote hulalamika kwamb nchi fulan inachukia wayahudi, sijui kundi fulan linataka kuwaangamiza wayahudi nk. Yani kila unapomsikiliza unaona anatetea wayahudi tu na sio Israel, au Waisrael.

Israel kama taifa ina mchanganyiko wa makabila na dini tofauti tofauti kama vile Ukristo, Uislam nk. Lakini yeye hulalamikia Wayahudi tu, hao wengine Wakristo wa Israel wakifa au wakishambuliwa haona hasara wala kosa lolote. Yani hizo imani zingine hazina haki ya kuishi wala kutetewa na yeye kama waziri mkuu wao.

Halaf alivyokuwa mpumbavu utasikia analalamika et Iran inachukia wayahudi, lkn hapo hapo anajisahawisha kwamb Iran ndio nchi ya kwanz yenye wayahudi wengi Asia nzima.

Nchini Iran baada ya Shia, wanaofuatia kwa wingi ni wayahudi, alaf ndio Sunni. Yani kwa kiswahili rahisi Wayahudi ni wengi nchini Iran kushinda waislamu wa madhehebu ya Sunni. Tena wapo miaka na miaka hawajawahi kuguswa na mtu yoyote.

Huu ugomvi wa Iran, na Israel ulipofikia, kama Iran ingelikuwa ni zile nchi nyingine zenye viongozi wa hovyo kama Netanyahu, basi wayahudi wa Iran wangekoma, wangekumbana na kile walichokumbana nacho wakati wa Hitler. Maana ingeonekana kuwa wao ndio wanaotoa information zote za usalama kwa Israel.
Lakin kwa vile Iran haiongozwi na viongozi wenye mihemko ya hovyo kama Shetaninyau, ndomana hakuna myahudi hata mmoja aliesumbuliwa.

Serikali ya Iran inaelewa kwamba vita yao sio ya kupambana na wayahudi kama shetaninyau anavyodanganya, bali wanapambana na wazungu (wazayuni) waliojivika ngozi ya uyahudi, au kuingia katika uyahudi kwa ajili ya masilahi yao.

Zaidi ya miaka 100 hakuna myahudi yoyote wa Iran ambae ashavunjiwa nyumba yake au kanisa lake. Hakuna myahudi yoyote ambae ashateswa au kufukuzwa nchini Iran kwa ajili ya imani yake. Ila Netanyahu na genge lake wameshafanya maangamizi makubwa dhidi ya makanisa, na misikiti na tukio moja lilitokea mwezi uliopita mpaka viongozi wa kanisa wakaingilia kati.

Kwa Netanyahu myahudi mzungu anathamani kubwa sana kuliko mkristo mzawa halisi wa Israel, ndomaana haoni hatari kuwauwa huku akijificha katika kichaka cha kutetea wayahudi uchwara wa Ulaya.

Kwa wale ambao hamjui kuwa kuna wayahudi weusi nimewawekea picha za myahudi wetu wa Kibondo akijaribu kukata mbuga kuelekea Israel kumsaidia Netanyahu kupambana na Hamas huko Gaza.

Picha: Myahudi wa Kibondo akiwa katika border ya Namanga tayari kuelekea Israel mapambanoni 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • images (30).jpeg
    images (30).jpeg
    30.6 KB · Views: 19

Picha: Myahudi wa Kibondo akiwa katika border ya Namanga tayari kuelekea Israel mapambanoni
kobazi huwa mnajitahidi kutunga vistori vya kichonganishi dhidi ya Israel na wakristo nafikiri mmefunza vita vya propaganda navyo vitafeli wala hatuelewi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Huna akili timamu wewe wayahudi wanaabudu makanisan tokea lini mpumbavu wewe wayahudi hutumia sinagogi kufanya ibada na sinagogi siyo masjid na wala si kanisa matak.o wewe netanyahu anakaanga magaidi wa dini ya magaidi uislam ambao hawajui kuish vzuri na watu wa dini nyngne.
 
uyahudi ni imani??? duuuu
 
October 7 hamas walienda Israel kuuwa wayahudi au waisraeli?
 
Huna akili timamu wewe wayahudi wanaabudu makanisan tokea lini mpumbavu wewe wayahudi hutumia sinagogi kufanya ibada na sinagogi siyo masjid na wala si kanisa matak.o wewe netanyahu anakaanga magaidi wa dini ya magaidi uislam ambao hawajui kuish vzuri na watu wa dini nyngne.
Kwa Comment hii inaonekana wewe una uchungu na Netanyahu kuliko hata mke wake mwenyewe. Sidhan kama leo hii akija Tz, akikuomba kijambio chako utamnyima. Maana una uchungu na mapenz ya dhati na yeye.
 
Attachments

  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    46.9 KB · Views: 21
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    44.5 KB · Views: 18
Kwa Comment hii inaonekana wewe una uchungu na Netanyahu kuliko hata mke wake mwenyewe. Sidhan kama leo hii akija Tz, akikuomba kijambio chako utamnyima. Maana una uchungu na mapenz ya dhati na yeye.
unawaza kufirana tu sjui ndo tabia mnazofundshana huko masjid nenden mkapgane na wale mnaowaitaga makafiri wapo huko gaza wanawakanda je wajua marekan ndiyo inailinda saudi arabia na ndiye analinda lile jiwe jeusi mnaloendaga kuliabudu kule saudi arabia eeeh hao makafiri sasa wapo kwny ardhi ya shetan allah wanaulinda mji wake.
 
Niaje waungwana

Kwa mtu asiekuwa na akili kamili au uwezo wa kufikiri vizuri, anaweza akahisi, au akajua kuwa Netanyahu anaipigania Israel, au waisrael. Lakini kwa yule mwenye akili kamili na uwezo mzuri wa kufikiri, ni lazima atakubaliana na mimi kwamb Netanyahu hayupo pale kupambana na kwa ajili ya Israel na Waisrael, bali anapambana kwa ajili ya wayahudi wenzake (haswa wenye asili ya kizungu) na genge lake.

Ikumbukwe kwamba Uyahudi ni imani kama zilivyo imani nyingine za Kikristo, Kiislam, Hindu, Buddha nk. Hivyo kila mtu anaweza kujiunga na imani hiyo, kutokea popote na nchi yoyote. Haijalishi wewe ni native wa nchi iliyotokea imani husika au ni mgeni.

Mfano dini za Ukristo na Uislam zilianzia huko Mashariki ya kati, lkn leo hii ni kawaida kumkuta mgogo akijiita mwanafunzi wa Yesu, au mmatumbi akijiita kijukuu cha Mtume nk. Lakin vilevile kila utapokwenda utakutana na wafuasi wa dini hizi katika nchi mbali mbali.

Sasa basi kwa vile Uyahudi ni imani kama zilivyo dini nlizozitaja hapo juu, pia na yenyewe imeenea katika mataifa mengi duniani. Leo hii ukienda Russia utawakuta wayahudi, ukienda India utawakuta wayahudi tena wahindi original, ukienda Iraq, Iran nk utawakuta wayahudi.

Na sio huko tu hata hapa Afrika pia wapo. Mfano mzuri ni hapo Ethiopia utawakuta wayahudi wa kiethiopia kibao.

Uyahudi sio race, au taifa, bali ni imani ndomaana mpaka wahindi, waethiopia, wazungu nao siku hizi ni wayahudi.

SASA KWANINI NASEMA NETANYAHU ANAPAMBANIA WAYAHUDI NA SIO WAISRAEL NA ISRAEL?

Kwa vile Uyahudi ni imani yenye mchanganyiko wa race tofauti, na watu kutoka mataifa mbali mbali kama zilivyo imani zingine Netanyahu yeye ni myahudi mwenye asili ya Poland (Mzungu). Hivyo hana uchungu sana na Israel au Waisrael, kwa vile hana uhusiano nao wowote wa kiundugu, wala kiutaifa.

Namaanisha yeye hana asili ya Israeli, na hajawahi kuwa na asili ya kabila lolote la Israeli, hivyo hawezi kuwa na uchungu nao wa aina yoyote.

Kinachomuunganisha Netanyahu na Israel kwa sasa, ni huo uyahudi ambao chimbuko lake ni Israel, pamoja na masilahi yake na wazungu wenzake pale Israel. Ndomana siku zote hulalamika kwamb nchi fulan inachukia wayahudi, sijui kundi fulan linataka kuwaangamiza wayahudi nk. Yani kila unapomsikiliza unaona anatetea wayahudi tu na sio Israel, au Waisrael.

Israel kama taifa ina mchanganyiko wa makabila na dini tofauti tofauti kama vile Ukristo, Uislam nk. Lakini yeye hulalamikia Wayahudi tu, hao wengine Wakristo wa Israel wakifa au wakishambuliwa haona hasara wala kosa lolote. Yani hizo imani zingine hazina haki ya kuishi wala kutetewa na yeye kama waziri mkuu wao.

Halaf alivyokuwa mpumbavu utasikia analalamika et Iran inachukia wayahudi, lkn hapo hapo anajisahawisha kwamb Iran ndio nchi ya kwanz yenye wayahudi wengi Asia nzima.

Nchini Iran baada ya Shia, wanaofuatia kwa wingi ni wayahudi, alaf ndio Sunni. Yani kwa kiswahili rahisi Wayahudi ni wengi nchini Iran kushinda waislamu wa madhehebu ya Sunni. Tena wapo miaka na miaka hawajawahi kuguswa na mtu yoyote.

Huu ugomvi wa Iran, na Israel ulipofikia, kama Iran ingelikuwa ni zile nchi nyingine zenye viongozi wa hovyo kama Netanyahu, basi wayahudi wa Iran wangekoma, wangekumbana na kile walichokumbana nacho wakati wa Hitler. Maana ingeonekana kuwa wao ndio wanaotoa information zote za usalama kwa Israel.
Lakin kwa vile Iran haiongozwi na viongozi wenye mihemko ya hovyo kama Shetaninyau, ndomana hakuna myahudi hata mmoja aliesumbuliwa.

Serikali ya Iran inaelewa kwamba vita yao sio ya kupambana na wayahudi kama shetaninyau anavyodanganya, bali wanapambana na wazungu (wazayuni) waliojivika ngozi ya uyahudi, au kuingia katika uyahudi kwa ajili ya masilahi yao.

Zaidi ya miaka 100 hakuna myahudi yoyote wa Iran ambae ashavunjiwa nyumba yake au kanisa lake. Hakuna myahudi yoyote ambae ashateswa au kufukuzwa nchini Iran kwa ajili ya imani yake. Ila Netanyahu na genge lake wameshafanya maangamizi makubwa dhidi ya makanisa, na misikiti na tukio moja lilitokea mwezi uliopita mpaka viongozi wa kanisa wakaingilia kati.

Kwa Netanyahu myahudi mzungu anathamani kubwa sana kuliko mkristo mzawa halisi wa Israel, ndomaana haoni hatari kuwauwa huku akijificha katika kichaka cha kutetea wayahudi uchwara wa Ulaya.

Kwa wale ambao hamjui kuwa kuna wayahudi weusi nimewawekea picha za myahudi wetu wa Kibondo akijaribu kukata mbuga kuelekea Israel kumsaidia Netanyahu kupambana na Hamas huko Gaza.

Picha: Myahudi wa Kibondo akiwa katika border ya Namanga tayari kuelekea Israel mapambanoni 🤣🤣🤣
Wayahudi hawajawahi kuwa tatizo . Tatizo ni wazayuni waliojiweka nyuma ya wayahudi
 
Hamas wameshikilia mateka gani??

Tukubaliane tu hii dini ya mudu ina loop hole ambayo wazungu wenye Akili ( CIA) wameweza kuitumia ku manipulate kobazi kuwaanzishia vikundi vya hovyo kufanya machafuko duniani kote wakitumia kitabu cha mudi

Netanyahu is doing dirty work kwa ajili ya maslahi yetu wote ( siwez sahau vijana wetu wasio na hatia walivyo uwawa kikatili na hawa mbwa unao watetea humu kila siku)
 
Aliyeandika hii post ni muislamu. Sisi wakristo tutaendelea kuisupport Israel na pia tutawasupport wayahudi ili uelewe vizuri somo
 
Wayahudi hawajawahi kuwa tatizo . Tatizo ni wazayuni waliojiweka nyuma ya wayahudi
Nakubaliana na wewe mkuu. Wayahudi wameishi vizuri na watu. Ila wazayuni ndo wamekuja kutibua utulivu na amani iliyokuwepo kati ya wayahudi na watu wa mataifa mungine.
 
Aliyeandika hii post ni muislamu.
Weka ushahidi wa dini yangu hapa JF ili wenye akili wasikucheke.
Sisi wakristo tutaendelea kuisupport Israel na pia tutawasupport wayahudi ili uelewe vizuri somo
Mambo umestick sana kwenye dini badala ya kustick kwenye hoja?

Mambo ya kuingiza dini kwenye hoja inayohitaji elimu na akili, ni kuonesha watu kwamb wew hauna uwezo wa kujadili mambo ya maana kama haya.
 
Back
Top Bottom